Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA, Katoro, Geita. John Heche, amesema, Nataka niwaambie ndugu zangu, huwezi kuua ndugu zako halafu mambo yakaisha. Kaini alipomuua ndugu yake...
19 Reactions
58 Replies
861 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Wananchi CUF Nassim Yahaya Upete ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa kwa wananchi kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Ismani katika Kata ya Kising’a...
1 Reactions
1 Replies
95 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba leo CHADEMA iko Geita Mjini kwenye ile kampeni yake ya Katiba Mpya na Free Lissu Kwa umati uliojitokeza ni dhahiri Nyahoza yuko Sahihi kuifutilia mbali
9 Reactions
30 Replies
651 Views
Dereva wa Kenya Nelson Wanjohi Kirika, mkazi wa Kenya nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai, na Aziz Hama, raia wa Tanzania (kutoka kushoto kwenda kulia) wamefikishwa rasmi mahakamani leo...
11 Reactions
40 Replies
1K Views
  • Redirect
Kama ni hatua Kali zichukuliwe kwa hawa viongozi wa chadema wamekuwa wakitoa kauli ambazo zimekosa uzalendo ambazo ni kichocheo cha VURUGU. Hata mwaka Jana wahusika wakuu ni viongozi wa chadema...
0 Reactions
Replies
Views
https://www.youtube.com/watch?v=0OJXfGzcMgk
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Real Stephen Wasira, bado anatumwa kuiubili injili ya ccm na mauaji yaliyojitokeza 29.10? Dr. Samia soma alama za nyakati huyo atumwe kigoma, sumbawanga, mbagara ILA akija Kilimanjaro tafadhali...
3 Reactions
18 Replies
274 Views
TAMU: Mimi binafsi chuo cha ualimu kilinijengea maadili ambayo mpaka sasa yananifanya niaminike na jamii inayonizunguka. Asante sana wakufunzi wangu. Chungu; vishawishi vya kimapenzi aisee...
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameweka wazi mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi (Refinery) kitakachohudumia...
6 Reactions
18 Replies
596 Views
Binadamu ni wabinafsi sana. Kuna watu wanafanya mambo utadhani wataishi milele hapa duniani. Tukiwa hatujapoa na ile ya mtoto wa Mombo kutuoneshea dole la kati akiwa kabeba maburungutu ya...
15 Reactions
29 Replies
1K Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
11 Reactions
417 Replies
14K Views
1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke...
14 Reactions
44 Replies
6K Views
Wanaukumbi. (✍️ MAANDAMANO YA DIASPORA YAMEBUMA.. NI HUZUNI NA AIBU.. Maandamano ya wanaojiita diaspora huko Marekani yamebuna vibaya sana na kwa kweli ni huzuni tupu. Tumekuwa tunawaambia muda...
5 Reactions
130 Replies
4K Views
Hamjambo Wote! Moja ya changamoto tulizonazo Watanzania na watu weusi ni kukimbia wajibu(uwajibikaji). Utegezi. Uvivu. Fikiria Mwanamke anaona wajibu wa maisha yake, mahitaji Yake ya msingi ati...
7 Reactions
20 Replies
323 Views
Ni mtu ninayemfahamu na kwa kweli nimekuwa naye n.a. kufanya naye SIASA ndani ya Chadema Kwa muda Mrefu kabla hajajiuza Lakini kwa sasa anayoyaandika mtandaoni kuhusu Chadema hata viongozi wake...
21 Reactions
68 Replies
1K Views
Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake...
38 Reactions
376 Replies
66K Views
Pamoja na wote wanasiasa wanajaribu kufuata trend ya wananchi. Kwasasa tred ipo kwenye kudai haki, kupinga sheria mbovu, kupinga utekaji, undugu, u bara na u zanzibari, kupinga rushwa na kutaka...
5 Reactions
5 Replies
219 Views
Ni mmoja ya watu ambao wapo CCM lakini wana akili. Huwa ni mara chache sana hawa watu kuwa CCM na wakaendelea kutumia akili. Tumsupport huyu jamaa britanicca kwa kuonesha mapenzi makubwa kwa...
29 Reactions
57 Replies
4K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki mazishi ya Marehemu Boniface Makene, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa...
4 Reactions
23 Replies
558 Views
Eti wadau tiririkeni hapa. Kwa malalamiko yetu ya kila siku dhidi ya ccm na siasa zetu, ungependa nchi yetu iwe na siasa kama za nchi gani duniani na kwa sababu zipi?
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…