Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?