Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ni upuuzi mwingine wa serikali ya awamu hii ya Raisi Samia eti Waziri Mkuu anazunguka mikoani kutatua matatizo ya wananchi. Waziri Mkuu anatakiwa kutatua matataizo katika ngazi ya kitaifa...
2 Reactions
20 Replies
398 Views
Aidha wanaharakati wametumika au la, hio sisi haituhusu. Mange Kimambi anashindwa kuelewa kuwa kuondolewa kwa Mwigulu kunaongeza mpasuko ndani ya chama na serikali, na mapasuko unaongeza ugumu wa...
6 Reactions
6 Replies
502 Views
Huu ni wito wangu kwa viongozi waliozeeka, huwezi kuwa kiongozi hadi kwenye Wheel chair, tujifunze kung'atuka wenyewe DC umezeeka kuliko Waziri lakini bado unang'ang'ania tu, unadhani utakuwa...
2 Reactions
11 Replies
182 Views
Ushauri: Nashauri tugome kufanyakazi au kununua bidhaa na huduma za serikali tarehe 29/10/2026 ili kuwakumbuka waliouwawa Hii itafanya serikali kuwajibika ipasavyo na ndugu zetu kupata haki...
13 Reactions
44 Replies
415 Views
DC SHAKA: MSITUMIE MAJERAHA YENU KAMA BIASHARA, PELEKENI WAHALIFU MAHAKAMANI Na Mwandishi Wetu, Kilosa - Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mheshimiwa Shaka Hamdu Shaka, amewataka wakulima wa...
0 Reactions
3 Replies
76 Views
Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Au waweza Kumwita Mr Clean kama ambavyo wengi hupenda kumwita . Au waweza...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Kuna hatari gani kwenye hili jiji? Askari wametapakaa kila kona. Magari ya delaya yanazunguka mji mzima. Mimi nikiwa mgeni nimepata hofu kubwa sana.
5 Reactions
20 Replies
626 Views
Hamjambo! Leo nimeanza kufanya mazoezi ya kukimbia kama sehemu ya kujitafakari kwa kile kilichonitokea MO29. Mimi ni moja ya watu nilioamini ninajua kukimbia haswa. Mwili na umbo langu...
3 Reactions
12 Replies
192 Views
Wale wajuzi karibuni kudadavua https://www.instagram.com/reel/Dd7PDTCjMJP/?stkn=MXBwZzl0cGFtaGRvdw== ===== Mfanyabiashara maarufu nchini Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mkewe Lucy “Lulu” Muteke...
9 Reactions
166 Replies
4K Views
CCM wangemsikiliza Horace Kolimba kisingekuwa hapa kilipo, msipomsikiliza Nchimbi mnaenda kupotea mazima. 1995, Horace Kolimba alisema "CCM imepoteza dira", 1997 aliitwa kujieleza Chimwaga, kabla...
5 Reactions
8 Replies
212 Views
Au atakua anajutia kilichomfikisha hapo alipo sasa, na kujutia kushindwa kutimiza ndoto zake za kisiasa kidemokrasia lakini pia kimapinduzi? Au anaweza kua amekata tamaa kabisa ya maisha na...
2 Reactions
53 Replies
268 Views
Hawa vijana wanaongozwa na mihemko zaidi kuliko hekima na busara, uwezo wao umejengwa kwenye misingi ya Uongo, Kibri, Kisasi na Kujipendekeza, wanapotoa matamshi huwa hawaangalii consequences...
7 Reactions
20 Replies
596 Views
48 Laws of Power. LAW 1: NEVER OUTSHINE THE MASTER Usijifanye wewe ndio una uwezo na akili kumzidi boss wako hata kama ni kweli. Kwa hili umefeli. Jifunze kwa watangulizi wako Majaliwa, Pinda...
19 Reactions
44 Replies
2K Views
Ni mambo ya trend kati ya wanaharakati na wanapendwa mchana huu imekuja moja tu imeshusha zile zote zilizotamba mpaka jana usiku yetu macho swali je hii siyo sawa na ile katibu ilimkuta akaomba...
0 Reactions
7 Replies
219 Views
Kwa maoni ya wengi kuna vita ya mafisadi na Wazalendo wa Tanzania. Ukiona watu wote wanao ongelea mambo ya kitaifa ya muhimu wanapata shida 1. Warioba na Tibaijuka kutishwa 2. Lissu kufunguliwa...
8 Reactions
18 Replies
280 Views
Kwanini Samia anaji associate na watu wenye tabia za hovyo aina hii, it is not wealth kwa mtu anayekalia ofisi kubwa yenye heshima kama ikulu kuhusishwa na wavuta bangi. Lucas Mwashambwa stop...
11 Reactions
43 Replies
861 Views
Kampuni ya Bolt Tanzania imetangaza kuwa imesikitishwa na tukio lililoripotiwa kuhusu dereva wake kumtendea isivyopaswa abiria wake "Tumesikitishwa sana na tukio lililoripotiwa kutokea kati ya...
2 Reactions
8 Replies
253 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…