Nchi inahitaji kuwa na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi, toka miaka ya sitini mpaka Sasa nchi hii haijawahi ongozwa na chama kingine zaidi ya CCM.
Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya...
Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye magari machache lakini ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa idadi ya vifo vinavyosababishwa na ajali za barabarani.
Nchi nyingine, ukiwa kiongozi, unatakiwa...
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo: Ukosoaji wowote, utaofanywa kwa kinachofanywa na serikali yetu, kama unatolewa in good faith, kwa nia ya kujenga na sio kubomoa, ukosoaji huu ukatoa ushauri...
Tumesikia kiasi kikubwa cha fedha zilizotengwa kwa vijana, walemavu na wanawake zikiwa zimetafunwa ktka halmashauri, na hili limekuwa likifanyika waziwazi kwa makada wa chama kukopeshana kwa...
MAGUFULI LIPA KISASI IKIBIDI, HISTORIA NI MWALIMU MZURI; ITAKULINDA.!
By Malisa GJ,
Leo nataka niwafundishe kidogo kuhusu historia na umuhimu wake. Katika historia ya Kanisa kuna maPapa waliwahi...
Lile neno stupid kwenye nchi zilizostaarabika lilipaswa kuambatana na barua yakuomba kukaa pembeni Kwa watu wafuatao;
1. Waziri mwenye dhamana na sekta ya usafiri kwa Tanzania Makame Mbarawa.
2...
Hii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia.
Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo...
Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.
Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli...
Kwa watanzania wengi almost 98% wanauona mwezi wa 03 kama mwezi wa Baraka kwa nchi yao , sifahamu kisa hasa cha kuupa hadhi hiyo mwezi huo,
Bali kwa kufuata tu mkumbo hata mimi kama Mtanzania...
Kumekucha!
Steven Wasira,mmoja wa wadaiwa sugu wa mfuko wa Commodity Import Support amesema hatalipa deni hilo kamwe na kwamba yeye si mmoja wa wadaiwa wa mabilioni hayo.
Wasira ambaye anakiri...
Ni uonevu mkubwa ikiwa TTCL itaondolewa katika biashara wakati inalazimishwa kupandisha bei ya bidhaa zake ili zilingane na washindani wake.
Iwapo TTCL itaachwa ifanye kazi kibiashara hakuna...
Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada...
Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku...
Ukiwa na maumivu ya CAG juu ya wizi na ufisadi ambao haujawahi kutokea nchii hii.
Million 622 hazijulikani zilipo kwenye halmashauri moja apo kusini mwa Tanzania. Hiyo imebainishwa na kamati ya...
Wakati akiwa makamu mkuu wa chuo SAUT Fr. Kitima aliwalela na kuwaingiza kwenye ajira vijana aliowaamini ambao walikuja kutengeneza mchongo wa kuiba ada huku wakitoa risiti bandia za chuo. Mchongo...