Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Askofu Bagonza amesema " Mbwa anayeshinda kwenye Mnyororo na kupewa Chakula na kunyimwa Uhuru hukusanya uchungu na chuki dhidi ya Viumbe vilivyo Huru na Kuwa mkali kupita kiasi. Ule siyo Ukali ni...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa...
23 Reactions
101 Replies
8K Views
Wachora Katuni ulimwenguni kwa kawaida ndiyo watu wanaothibitisha ule msemo wa "Picha huongea maneno zaidi ya Elfu kwa wakati mmoja". Na sheria ya sanaa katuni mmoja hutafsiriwa kutegemea na mtu...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Ukikaa vijiwe vya Kahawa Tanga hasa kwamsisi, Handeni na Pangani ukasikiliza Stori za wananchi utatambua umuhimu wa kuziweka mamlaka za uteuzi mikononi mwa Mungu. Watu wanaratiba kabisa yakwenda...
15 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama...
11 Reactions
119 Replies
7K Views
Nadharia Njama (Consipirancy Theory) ni hali ya kuamini kwamba kuna taasisi au watu fulani wanahusika kufanya jambo fulani la siri kwa faida yao. Lakini pia inawezekana ikawa ni hoja fikirishi ya...
16 Reactions
37 Replies
2K Views
Mtu yeyote anaweza kupata fursa nzuri na maendeleo. Zipo familia zilizo bahatika kuishi katika utajiri mkubwa. Hiyo ni fursa ambayo wamejariwa. Changamoto ni kwamba wapo wanao amini kuwa umaskini...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Jarida maarufu la masuala ya biashara Afrika na Duniani limeitaja Tanzania kuwa Moja ya Nchi zinazoelekea kuwa kimbilio la wawekezaji Duniani. Hongera sana Rais Samia na Tanzania, haya ndio mambo...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya sh. milioni 260 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wazitumie kufanya biashara ya usafirishaji. Akizungumza na vijana wa...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais . Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK. Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa. Kuna watu...
3 Reactions
12 Replies
891 Views
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Member of Parliament - EALA ) Mhe. Dkt. Shogo Mlozi Sedoyeka, PhD anashiriki semina ya EALA Women Caucus juu ya Kuendeleza Utawala unaozingatia Jinsia...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ripoti ya CAG inasema billion 88 zimepotea katika mpango wa Halmashauri wa kutenga 10% za mapato yao kwa ajili ya mikopo ya vijana na wanawake. Sijawahi kufahamu nani alitoa wazo hili kwa kuanzia...
4 Reactions
2 Replies
881 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye hafla fupi iliyofanyika...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari JF, Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa...
56 Reactions
748 Replies
91K Views
Tuliwahi kuwa na viwanda vingi na vya namna mbalimbali ambavyo lengo lake kubwa lilikuwa ni kutengeneza uwezo wa ndani wa taifa kuzalisha bidhaa mbalimbali ili kutosheleza kwa kiasi kikubwa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Jana, raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania kaeleza kwamba kuna mtu amekopa benki 5 au 6 tofauti za Tanzania na hajulikani alipo, yaani...
29 Reactions
188 Replies
12K Views
Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunileta duniani na kuweza kupata uhai ambao Leo hii unanifanya naweza kufikiri Kwa mapana. Leo...
0 Reactions
2 Replies
569 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…