Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG. Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake Kama alivyofanya Hayati John Joseph Pombe Magufuli !! ... Hivi Kwa...
21 Reactions
70 Replies
4K Views
Naomba muupokee huu Ujumbe wa Dr Slaa kama ndio salamu za Pasaka Mbowe na wenzake kupitia Serikali ya JMT wanatengeneza Katiba Mpya ya Wanasiasa Katiba Mpya ya Wananchi itatengenezwa na...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuna vitu vya aibu kuvifanya hata kama utafanya faragha, hivyo hivyo hata kuwa mfuasi wa jamii primitive unajisikiaje? Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga kwa hao walio chini na huyo wa juu.
1 Reactions
5 Replies
580 Views
Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuwakamata mafisadi, wabadhilifu wa fedha za umma, na wala rushwa ni muhimu katika kupambana na ufisadi na kuhakikisha kuwa fedha za umma zinatumika kwa manufaa ya wananchi. Kuna mbinu kadhaa za...
0 Reactions
6 Replies
977 Views
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni: 1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza...
0 Reactions
3 Replies
726 Views
September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe...
3 Reactions
70 Replies
3K Views
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO. Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa...
36 Reactions
258 Replies
23K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema hakuna hata sehemu Moja iliyoandikwa Ukitaka kumkosoa Rais au Serikali mkosoe kwa Staha, hizi lugha tamu tamu hizi ni ndoana na anataka tusimseme...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu. Baada ya kusikia na kusoma Taarifa ya CAG juu ya Ushauri wa CAG kuwa Jaji Biswalo ACHUNGUZWE kuhusiana na PLEA BARGAINING nimekuwa napata KIGUGUMIZI kuwa, je ANACHUNGUZIKA?
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Salute, Tangu raisi Samia aingie madarakani katika awamu yake ya sita, baada ya hayati Magufuli kuwa ametangulia mbele ya haki, ni kiongozi gani au mtumishi gani amewahi kuwajibishwa kwa ufisadi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Watu makini na wenye akili ndani ya chama cha ACT Wazalendo wameguduka na kuanza kumkemea kiongozi wao mkuu Zito Kabwe kwa unafiki na undumilakuwili wake, baada ya kushindwa kabisa kukosoa utawala...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kupitia Twitter mwandishi wa habari mkongwe Eric Kabendera amesema ameitwa kuwasilisha vielelezo vyake baada ya kutishiwa na aliyekuwa DPP wa Serikali Dr. Biswalo Mganga Binafsi nimeombwa...
15 Reactions
72 Replies
7K Views
Mwanza, Tanzania Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Elimu - wizara ya TAMISEMI Dr. Charles Enock Msonde na Dr. Lyabwene Mtahabwa - kamnishna wa elimu kutoka wizara ya elimu wahimiza waalimu wa...
2 Reactions
65 Replies
4K Views
Jumatano ya Machi 29, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Kwa haya mauzauza tunayopitia ni wakati wa kujiuliza hivi hapa Tanzania kitu gani ni halisi? Kwa mfano CHADEMA ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo, je, ni Demokrasia ya Mchongo, mbona Mwenyekiti...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Ni Jambo la kawaida Kwa mzalendo kufanya Yale yaliyo juu ya uwezo wake. CAG ametoa ripoti kwamba fedha katika mashirika na Taasisi mbalimbali za serikali zimeliwa na wakubwa. Ni dhahiri fedha hizo...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
Kama bado Biswalo Yuko ofisini, basi Sabaya atakuwa Jaji very soon. Najua Hana taaluma ya Sheria lkn Kwa mwendo wa Mama inawezekana Time will tell
1 Reactions
11 Replies
540 Views
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na...
20 Reactions
111 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…