Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ACT Wazalendo wamesema CAG amedhihirisha kuwa waziri Mbarawa amelidanganya Bunge baada ya kuonyesha hakuna barabara iliyojengwa katika maeneo ambavyo Mbarawa alisema bungeni kwamba wamejenga...
0 Reactions
6 Replies
842 Views
Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema Alhamisi Aprili 06, 2023 ametoa futari kwa watu na makundi mbalimbali kwenye Jamii kwenye mwendelezo wa Mwezi huu...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Nampongeza Mhe. Rais Kwa ukali anaouonyesha Kwa vitendo na kwakuzingatia ethics za utumishi na Mila zetu. Ila napata wasiwasi pale ambapo Makatibu wakuu waliochemsha wanapopewa nafasi yakujibu...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Hatua za ukusanyaji taarifa, uchakataji, uandaaji na uwasilishaji wa ripoti ya CAG NI hizi zifuatazo; 1. CAG kila mwaka wa Fedha kupitia mpango kazi wake ufanya ukaguzi WA kawaida na ukaguzi...
16 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, nanukuu, "Usishindane na aliyejaaliwa," mwisho wa kunukuu. Freeman Mbowe ni mtu aliyejaaliwa karama ya kupendwa, hili wahafidhina mnatakiwa mlijue, mtake...
39 Reactions
101 Replies
5K Views
Wadau habari za easter, Leo naandika kiufupi kabisa kuna siku nitaleta mzigo mzima humu. Naomba niongee na vijana umri wa miaka 18-30, kundi hili halijachelewa kuamua ni wakati mzuri wa kuwa na...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango amesema kwa ufisadi huu uliowekwa wazi na CAG hakuna atakayepona kwenye nchi hii
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuuliza wala siyo ujinga wana JF. Imenibidi kuwauliza nyie labda kuna mtu ana kumbukumbu ya wapi vilienda vile vichwa vya treni vilivyo okotwa pale bandarini. Maana tuliambiwa havikuwa na...
15 Reactions
101 Replies
8K Views
Mh Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Hesabu za ATCL zinaonyesha Shirima hilo linapata hasara kubwa kwa sababu tu ndege zinamilikiwa na Wakala wa Ndege za Serikal na hivyo Serikal kulipwa fedha...
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema kwa mujibu wa kanuni, Ripoti ya CAG iliyowasilishwa bungeni itaanza kushughulikia na PAC mwezi August na majibu yatapelekwa Bungeni mwakani 2024. Hivyo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza Mhe. Spika Tulia nakutakia Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka. Kama ikikupendeza tufanyie wepesi hayo mahojiano ya Kamati za Bunge na Watuhumiwa wa Ripoti ya CAG yafanyike mubashara...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa...
27 Reactions
159 Replies
11K Views
Kwanza nianze ujumbe wangu kwa kumtanguliza mwenyezi Mungu alietupa uhai, afya, nguvu na akili ya kusimamia mfumo wa maisha yetu ya kila siku. Pili nitumie tena nafasi hii kuwasalimu watanzania...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
GAG tunaomba report za mwaka 2021/2022 tu. Nimekuwa nafatilia report ya CAG toka itangazwe karibu wiki moja iliyopita. Nilitegemea CAG atatupatia report ya Mwaka huu 2021/2022, lakini CAG...
0 Reactions
1 Replies
604 Views
Tumeona mpaka gazeti la mwananchi wameingia kwenye upuuzi wa kuandika habari zisizo na ukweli wowote kuhusu Chato, hospital ya Kanda ya Chato imekuwa msaada mkubwa Kwa wananchi wa Kanda ya ziwa...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Hapa imetumika chenga ya mwili!! Kwenye taarifa moja kutolewa habari ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini na habari ya kupandisha mafao ya uzeeni huko PSSSF toka asilimia...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari za pasaka ndugu wanajukwaa wakati wengine wakiendelea na swaum nawaambia kazi iendelee. Ninapendekeza ofisi ya Rais Ikulu kupitia kurugenzi ya mawasiliano wawe na ukurasa wao hapa kama...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom