Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Narudia tena mnaotarajia kuna katiba mpya mnajidanganya.Katiba mpya haipatikani kwa wananchi kuwaomba viongozi inapatikana kwa wananchi kuwalazimisha viongozi watake au wasitake. Katiba iliyopo...
1 Reactions
3 Replies
330 Views
Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere. EXTRACT YA RIPOTI INASEMA "Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Bila shaka yo yote huyu Mhandisi John Nzulule aliyetenguliwa na Rais si mara yake ya kwanza kutupiga katika ununuzi wa ndege za serikali. Nadhani ametupiga katika ununuzi wa ndege serikali na pia...
11 Reactions
43 Replies
7K Views
Nisikuchoshe, Nimeona waziwazi maisha yalivyo mambo ni kama ya mwendazake, pamoja na muendelezo wa alipoishia hayati, bado hujapindua changamoto, kuna kufeli maeneo mengi. Zaidi na zaidi...
0 Reactions
3 Replies
602 Views
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amesema Kikatiba Kamati za Bunge za Hesabu za Mashirika ya Umma PAC na ile ya Hesabu za Serikal za Mitaa LAAC zinatakiwa ziongozwe na Wabunge wa Upinzani...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama kuna mtu ambaye anazo au anafahamu sehemu ya kupata stats za bima ya taifa. Stats ni kama Idadi ya waliojiunga, umri wao, kiasi cha malipo waliokusanya, malipo bima iliyolipa. Kuna mawazo...
2 Reactions
2 Replies
540 Views
Kinachotokea 254 kwa sasa ni ishara na lama tosha ya kuonesha uimara wa upinzani nchini Kenya. Lakini uimara huu haukuja hivihivi , ulikuja kwa gharama, jasho na maumivu. Raila licha ya ndoto...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Imefika wakati sasa, somo la uzalendo lifundishwe kwa undani zaidi ili kuweza kukomboa fikra za vijana. Vijana wengi leo hii wanadhani uzalendo ni kumtetea kiongozi wa nchi na ndio maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Binafsi nilitegemea Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika angefanya uchambuzi wa kina kwenye Ripoti ya CAG kabla hajaitisha kikao cha wanahabari Lakini Mnyika kachambua nusu Ripoti na kuazimia...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Profesa Mussa Assad ameonyesha masikitiko yake kuhusiana na wezi wa mali ya umma wanaochekewa. Mussa Assad aliyewahi kuhudumu kwenye nafasi ya CAG kwa mafanikio , na baadaye kuondolewa kinyume...
10 Reactions
40 Replies
5K Views
huwa sielewi.....
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imezitimua kwenye kikao taasisi mbili zilizoko chini ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi baada ya maofisa masuhuli kushindwa kufika kwenye...
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Kuna hili siko la mandizi MABIBO! Linatia aibu. Je kweli mnakusanya ushauri? Na kama ndivyo zinaenda wapi? Hata mseme kulikarabati mnashindwa Nini? Vyakula vinauzwa kwenye tope kweli solo kubwa...
0 Reactions
10 Replies
851 Views
Kumbe malipo ya Invoicing yalizuiwa pale Wizara ya Fedha chini ya Waziri Bingwa na Mzalendo Mwigulu Nchemba. Invoice ilipofika Hazina, wakaona tofauti iliyopo kwenye mkataba wakawasilisha fraud...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
Tarehe 19 Agosti 2022, Barua kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu ilieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark James Mwandosya kuwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Uchaguzi ukiisha tuendelee na kazi. Mambo ya kujengeana bifu ni upuuzi mtupu. Wote ni walipa kodi na maendeleo hayana chama. Wapo baadhi ya wabunge na madiwani baadhi ya maeneo yao haya maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Nafasi anayogombea Mulamula ndio nafasi ambayo Membe aliomba na kuchinjiwa baharini na Mwendazake 🤪🤪. Rais Samia hana kinyongo so ameamua kumbeba Balozi Mulamula.. --- RAIS Samia Suluhu Hassan...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi...
4 Reactions
53 Replies
6K Views
Wakuu hongereni sana kwa Sherehe za Pasaka zinazoendelea , ambapo Wakristo kote Duniani wanasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu . Baada ya Utangulizi huo Taarifa kabambe inasambazwa kwa watu wote...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Huu muungano wa kuletewa viongozi someni muone maradhara yake
0 Reactions
2 Replies
508 Views
Back
Top Bottom