Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki? Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi...
13 Reactions
124 Replies
8K Views
Nimekutana na hili Bango ambalo ni maarufu sana kwa sasa lenye picha ya Rais Samia ( Mwenyekiti wa CCM) na Tundu Lisu Makamu mwenyekiti wa Chadema, limenifurahisha sana Wakati wote huwa...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mitaa ina furaha, Raha, Amani, Tabasamu na matumaini makubwa sana. Hii ni Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya kilimo ya Takribani billioni Mia Tisa na sabini...
1 Reactions
1 Replies
473 Views
Kote Nusu Mkate na Mkate mzima kuna faida na Hasara zake Nusu Mkate inawahakikishia Chadema kuwa na Idadi fulani ya Wabunge kabla hata ya kupiga kura hiyo ni faida Hasara ya Nusu Mkate ni...
0 Reactions
8 Replies
580 Views
Yaani badala ya kudeal na kuwaboreshea wakulima waliopo kwenye mazingira ya ukulima, yeye ameamua kwenda kuokoteza majobless waliojipachika UVCCM na kuwalazimishia kwenye ukulima kwa gharama za...
3 Reactions
10 Replies
708 Views
Baada ya kujificha muda mrefu hatimaye Lissu ameamua kumwaga mboga kwa kuweka wazi msimamo wake, huu msimamo haujapendwa na viongozi wenzie ndani ya chama. Mara nyingi nilikuwa nikiwaeleza hapa...
23 Reactions
150 Replies
8K Views
Kipindi mahindi yamepanda bei kanda ya ziwa anakotokea bashe wao walinemeeka na mahindi ya serikali yaliyouzwa kwa bei punguzo, Kagera, mara, mwanza, kigoma, tabora, shinyanga, simiyu hiyo mikoa...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakati Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) likieleza kuwa wameruhusiwa kufanya maandamano kesho, Jeshi la Polisi Kanda Maalum limesema linasubiri siku hiyo ifike. Mei 7, mwaka huu Bawacha...
1 Reactions
6 Replies
777 Views
Spika wa bunge la Tanzania Mh Tulia Aksoni amepiga marufuku wabunge kuvua nguo Bungeni akisema ni kosa kubwa na kuonya tukio kama hilo lisijirudie tena Tulia Aksoni alikuwa akizungumzia suala la...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Andiko la kumuombea heri katika uongozii mzuri katika wizara hii ya michezo, kwanza huyu mama Kama vile wizara imemkubali hivi au ndo vile ni mimi namuona ni Miongoni mwa viongozi Wenye uwezo wa...
1 Reactions
5 Replies
965 Views
Kongamano la Maombi,Dua Na MARIDHIANO ya Amani Kuelekea Uchaguzi Wa Oktoba 2020. Hakika Alichokihubiri Mzee John Magalle Shibuda Akiwakilisha Vyama 19 vya siasa nchini,kitabaki kuwa Ni MANENO YA...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
UPDATE: MAY 2023 Hii thread ni ya tangu Mwaka 2014, miaka 9 iliyopita hadi leo 2023 barabara hali ni mbaya, pamoja na ahadi ya kuweka lami kipande hicho cha kilomita 21, ila hadi leo hakuna...
9 Reactions
92 Replies
16K Views
UDOM ni chuo kichanga kilichojaa vituko vya maadili mabovu. Maadili mabovu kwa waalimu na watumishi wengine hadi kufikia VC na DVC wake kuwa ni watu wa hovyo hovyo tu! Kumefanyika mabadiliko ya...
9 Reactions
46 Replies
6K Views
Baada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi kwa yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na...
16 Reactions
51 Replies
4K Views
Hii ndio Taarifa mpya kwa leo, hasa baada ya mvutano kati ya viongozi wa Bawacha na Polisi kumalizika . Bawacha ambayo inatajwa kuwa ndio Taasisi bora zaidi ya Wakina Mama Barani Africa ...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Baadhi ya watu wanaoishi na ulemavu wamebahatika kuwa Wabunge kwy Bunge la JMT. Tumeona walemavu wa viungo vya mwili wakiwa Wabunge vivyo hivyo kwa walemavu wa macho na masikio isipokuwa tu...
1 Reactions
5 Replies
450 Views
Bwana mdogo Bashe kwa siku za hivi karibuni umeonyesha hali ya kujiamini iliyopitiliza huku ukisahau kwamba wewe ni mteule na mda wowote uteule wako unaweza kutenguliwa. Tatizo la vijana wengi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Inavyoonekana ziara za Tundu Lissu mikoani zimekuwa kama zile Kampeni zake za 2020. Hakuna machinary ya Chama inayoambatana nae. Sio CHADEMA media wala uongozi wa Chama. Je Lissu anaanza kupitia...
1 Reactions
17 Replies
809 Views
Kufuatia sintofahamu ya mipaka huko Tarime Vijijini Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji zaidi ya 15 Wamejiuzulu. Kujiuzulu kwao kumefuatia kutoridhika na maelezo yaliyotolewa na Waziri wa TAMISEMI...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu wanaharakati.. Nimekubali kuwa mjinga ili nielewe umhimu wa kuwa na katiba mpya. Najieleza, katiba ni muhimu kwa nchi yeyote kwani ndiyo inayotoa mwongozo katika utungaji wa sheria...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…