Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika mkutano na waandishi Leo, rais Dr. Magufuli alitoa moja ya madudu yaliyofanyika awamu iliyopita kwamba kuna makaburi hawezi kuyafukua kwa sababu atashindwa kuyafukia. Akasema kuna dola 20...
13 Reactions
296 Replies
33K Views
Nikikumbuka ile tabia yake ya kuwatoa kina Lukuvi na Kabudi wizarani na kuwapeleka ikulu, na jinsi ufisadi ulivyotamalaki kwa sasa naona connection ipo kwenye sababu ya kumpeleka Polepole Cuba...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Elva Johnson huyu ni waziri wa kazi za Sweden nchi inayoipatia Tanzania misaada ya mabilioni, hapa waziri huyu ametoka Bungeni kujibu maswali na kufanya kazi kisha anasubiria treni arudi kwake...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
9 Reactions
80 Replies
12K Views
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika! Ni kweli wazuri Hawafi. Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini...
19 Reactions
64 Replies
6K Views
TANGU kutangazwa kifo cha Benard Kamilius Membe kumekuwa na hali ambayo sio ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii ya JF, Twita, Instagram, Facebook na Youtube. Swali langu kwa watanzania Membe...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Wenzetu Kenya Siasa zao huzifanyia Makanisani na Misibani tofauti na Sisi bongo Uungwana wa Mbowe leo umemfanya apigwe picha kwa kila mtu aliyesimama naye kumsalimia pale Msibani Uungwana ni...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza kabisa nitashiriki katika kongamano la KATIBA MPYA hapa kwa dhumuni maalum lenye kutoa fursa ya mawazo mbadala nje ya rasimu ama ile ilopendekezwa ambayo muda sii mrefu mchakato...
7 Reactions
106 Replies
6K Views
Kiukweli hakuna kitu kimewauma wafuasi wa Hayati Magufuli kama ujio wa Kamala Harris, hawaamini walichokiona. Haya ni mafanikio makubwa kwa Rais Samia na Wapinzani kuileta Marekani Tanzania na ni...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa. Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na...
12 Reactions
31 Replies
5K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amefika nyumbani kwa Bernard Membe ili kuhani Msiba , ambapo ametia saini kwenye Kitabu cha Wageni Huku akiwa chini ya...
14 Reactions
33 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakati tunaomboleza kifo cha Bernad Membe najikuta nawaza bora Musiba angemuomba Membe msamaha na akasamehewa yaishe kuliko ilivo sasa Kufariki kwa Membe hakumpi nafuu Musiba kuhusu deni zaidi ya...
5 Reactions
8 Replies
879 Views
KUNA Tetesi zinaenea bungeni kuhusu wabunge kutaka kumwajibisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kukithiri kwa vitendo viovu ndani ya Serikali na kama msimamizi mkuu wa SERIKALI hajachukua...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Mimi huwa nimfuatiliaji sana wa Bunge la Kenya na Uganda kwa sababu pia ni Mabunge ya EAC, ila kitu kimoja ambacho sijawahi kutana nacho ni kutembelewa na wananchi wao. Siku moja nikauliza rafiki...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili...
10 Reactions
210 Replies
27K Views
Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe. Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara...
25 Reactions
102 Replies
8K Views
Katika mkutano wake mkubwa wa hadhara wa Morogoro mjini leo hii, ambao bila shaka umevunja rekodi ya mahudhurio, pamoja na mambo mengine, Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa...
27 Reactions
172 Replies
10K Views
Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG. Kundi la Hayati...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…