Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki akiwasilisha taarifa ya sekta hiyo bungeni leo Aprili 30, 2026, amebainisha kuwa sekta hiyo imeendelea kupanuka kwa kasi, huku...
Nadhani wote mmemsikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu Mahakamani alipokuwa anamtetea Mwenyekiti wa Chama chake aliyesingiziwa kesi ya Uongo ya Uhaini ili CCM ipite bila kupingwa.
Kumbe Mwanzilishi...
Mojawapo ya utopolo wa hali ya ujuu uliotamkwa wakati wa hotuba ya Samia kwenye ziara ya Ruto ni hili suala la kusema wanaharakati wachapwe, wakiwa Kenya au Tanzania.
Sasa wakati wasikilizaji...
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Baada ya ukimya wa siku kadhaa na madai pia waliotoa kutaka kutekwa! Sasa wale Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya akiongozwa na Billy Miya leo waimeibuka na jambo jipya la kusema Rais wa Tanzania...
"Utawala wa Trump ulikuwa sahihi kuanzisha mapitio ya uhusiano kati ya Marekani na Tanzania. Ukandamizaji unaoendelea dhidi ya Wakristo unapaswa kukabiliwa na hatua
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru dereva taksi Mousa Twaleb aliyekuwa akituhumiwa kuhusika na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu...
Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi..
Mwenye habari kamili atujuze.
======
UPDATES...
Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa.
Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji...
Serikali ya Tanzania imechukua hatua ya kulinda wananchi dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta duniani kwa kutoa ruzuku ya takribani shilingi 259 kwa kila lita ya dizeli.
Kwa mujibu wa taarifa ya...
Kuna mtindo ambao amekuja nao Masaju, VJ kuwa kesi za Court of appeal zisikilizwe kwa mtindi wa sessions. Ikiwa na maana kuwa session inaweza kuwa ya civil, criminal, matrimonial ???(Sina uhakika...
Mlishatambulika kuwa mpo Pamoja na CCM na hata wakati wananchi wanapigwa risai ile Oktoba 29 mlikuwa pamoja na CCM mkifanya maigizo ya uchaguzi feki.
Leo hii mnazunguka na kujifanya mnapinga...
Zimepita siku 72 tangu kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ilipoahirishwa, kwa muda usiojulikana baada ya upande wa Jamhuri kwenda Mahakama ya Rufaa kuomba mapitio ya...
Nampongeza sana Rais Samia kumzodoa Ruto ambae anapanga mipango ya maendeleo Kwa Nchi nyingine bila kushirikisha na bila kujua kwamba na sisi tuna mipango yetu sio lazima hiyo ya kwao.
Baada ya...
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Mirambo Yusuph, amesema mambo yaliyoainishwa katika ripoti ya Tume ya Uchaguzi kuhusu matukio ya Oktoba 29 tayari...
Mwanaharakati wa Kenya, Hussein Khalidi amesema kuwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hawatishwi na kauli ya Rais wa Tanzania, Saia Suluhu Hassan ya kuwaonya Gen-Z wa Afrika Mashariki kuwa...
Kuna uwezekano wowote wa mtu asiyeamini mungu(atheist) anayefahamika kwa wazi kabisa kuwa kiongozi wa nchi au serikali Tanzania kwa katiba ya sasa au hata mpya?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliokula viapo vyao leo Mei 6, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.