Wanaharakati Kenya: Hatutishwi na matamshi ya Rais Samia

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,852
Reaction score
3,094
Mwanaharakati wa Kenya, Hussein Khalidi amesema kuwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hawatishwi na kauli ya Rais wa Tanzania, Saia Suluhu Hassan ya kuwaonya Gen-Z wa Afrika Mashariki kuwa watachapwa viboko kila watakapokwenda.

Soma Pia:
Ameyasema hayo leo Mei 5, katika mahojiano yake na kituo cha radio cha Mo Radio 88.2FM Mombasa nchini Kenya.​

Wanaharakati au mamluki na vibaraka nonsense wa mabwenyenye ya magharibi?
 
Yalama wa Kizimkazi amebakiwa na akili ya kuendea bathroom tu!
 
Mwanaharakati wa Kenya, Hussein Khalidi amesema kuwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hawatishwi na kauli ya Rais wa Tanzania, Saia Suluhu Hassan ya kuwaonya Gen-Z wa Afrika Mashariki kuwa watachapwa viboko kila watakapokwenda.

Soma Pia:
Ameyasema hayo leo Mei 5, katika mahojiano yake na kituo cha radio cha Mo Radio 88.2FM Mombasa nchini Kenya.​

Mimi najibu kicwa cha mada; sijasoma yaliyo chini yake.

Samia ni mhalifu, siyo "Rais".
Huwezi kumpa heshima mtu mhalifu kwa kumuita "Rais Samia".
 
Kawaambieni ye Samia ndo hawaogopi tu hao mafala wa kikenya. Na kimsingi ameshawapyambya vya kutosha tu.
1. Walikuja Malaya zao flani eti kuja kushiriki sijui kesi sijui nini' lakini mama la mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, akawazuia na kujikuta wamerudi kwao
2. Walimrukana mama Samia kwa matusi ya Kila aina lakini mama la mamama Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, akawapuuza na kuendelea na hamsini zake za kulijenga taifa.
3. Vigen z vyao vikataka kuleta ungese eti waje kuwasaidia wafuasi wa kitima na lissu' na TEC kuchoma moto nchi, kuua wasio wafuasi wao n.k. Mama la mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, akafanikiwa kiuwauiakx
 
Wanaharakati au mamluki na vibaraka nonsense wa mabwenyenye ya magharibi?
Mshauri sasa na huyo mama yako muuaji aende akahutubie bunge la Kenya kama atatoboa. Wewe kazi yako ni kula mavi ya Samuya tu na kichwani umejaza kamasi tu, Kenge wewe!
 
tuliza mihemko nonsense bas gentleman,

Dr.Samia hana haja ya kuhutubia bunge la kikabila gentleman ingawa hakuna wa kumzuia
 
Wewe unadhani bunge la Kenya ni kama hivyo vikao vyenu vya ccm mnavyofanyia kwenye jengo la bunge na kulipana kodi zetu tu kisengekisenge? Kwanza huna akili wewe kima, huna credibility ya kujenga hoja na mimi, pumbavu!
 
una fikra nonsense sana gentleman, ambazo zinaexpose jinsi ulivyo na negativity mindset very useless kwenye maisha ya kawaida kabisa katika siasa,

sasa bunge la kenya lina kitu gani zaid ya ukabila gentleman?:pedroP:
 
Ila Samia anashangaza sana, badala ya kuzua mijadala ya kiuchumi(kwa kuwa ujio wa Ruto ilikuwa ni masuala ya kiuchumi) yeye anaongelea visivyo na tija kabisa
 
Back
Top Bottom