Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine...
Na edo kumwembe
Ni nchi ya ajabu kwa mwanadamu makini kuweza kuishi. Ni nchi inayoshangaza sana, ingawa raia wake hawaonyeshi kushangazwa na matukio kadhaa yanayotokea.
Naizungumzia Tanzania...
Kati ya mataifa yaliyofanikiwa sana kwa kipindi kifupi ni Singapore.
Mwaka 1961, wakati tunapata uhuru, Singapore, Malaysia na Thailand, tulikuwa kwenye kiwango kinachofanana cha umaskini. Lengo...
Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo...
Ni vigumu wito wa kiongozi wa chama kutenganishwa na chama:
Ingekuwa vyema tukapeana uthibitisho ili japo kujua tunaposimama.
"Ikumbukwe kodi za kufikia nusu ya kwanza ya mwaka huu zilikwisha...
Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.
Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.
Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu...
Sina haja ya kuwataja Mawaziri hao kwa sababu ukiisoma kwa Makini Ripoti ya CAG utawatambua tu.
Wengi wanalidharau hili Bunge na kudai halina maajabu lakin nawahakikishieni linaenda kuwastaafisha...
UVCCM ni umoja uliowekwa na kulelewa katika misingi ya kuimba mapambio ya kusifu na kutukuza watawala hata pale pasipo stahili sifa. ACHENI.
Anaandika Almaliki Mokiwa.
Tuweke mkazo katika...
Mbunge wa Viti Maalum, Ngw'asi Kamani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali vijana na kuondoa malipo ya kodi ya mwaka mmoja wanapoanza biashara.
Akichangia bungeni Aprili 11, 2023...
Nimeshangaa utitiri wa matangazo ya iftal huko bungeni Dodoma kwa sasa!
Na ndio maana nikaanza kufikiria na kutafakari kinachoendelea hukohuko Bungeni kwa sasa!
Kuhusiana na ripoti ya CAG...
Ni wazi kwamba ndege ya ATCL inayokwenda Chato huwa inaenda tupu, bila abiria
Abiria pekee ni mama Janeth Magufuli na watoto wake au Kalemani.
Nashauri ruti hii ifutwe kwa maslahi ya taifa.
Kiukweli pamoja na kazi nzuri anazofanya Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan pamoja na watumishi wema na wanaomshauri vizuri juu ya ustawi wa Taida letu la Tamzania ni vizuri tuliangalie na hili...
Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa...
Kwa ujumla Rais wa Urusi Vladmir Putin,amewashika pabaya na kuzidi kuwaweka njia Panda, USA na washirika wake wa NATO baada ya kuzisamehe ghafla nchi za kiafrika,madeni yaliyokuwa na thamani ya...
Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za...
Ni mtu mjinga tu ndio atakubaliana na Kibajaj kwamba Ripoti ya CAG isijadiliwe bungeni hadi mwakani
Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Ripoti itachambuliwa na Bunge la Wananchi huku mtaani na...
Hawa matapeli wa kopa faster ni hujuma au mpo nao na maisha nao?
Je, nikitengo ndani ya jeshi la polisi?
Kama sio je mnawafahamu? Mliwahi kuwasikia?
Nimeuliza kwa kuwa licha ya Watanzania kulia...
Kwanza nilidhani ni wale manabii uchwara ila nikaangalia kwa ukaribu nikagundua ni lijamaa limoja lenye pesa na kitambi kinapita juu ya matumbo ya kinamama wenye waume zao na watoto.
Sio kosa...