Viongozi wa Dini susieni Mkutano wenu na RC Chalamila kwa kuwa ajenda yake ya Aibu imejulikana

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja.

Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu. Iombeeni nchi, fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote.

Mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu, najua Chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa Dar.
 
Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia samia apite bila kupingwa ...hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja ..ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia ccm kubaki madarakani...ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu .iombeeni nchi fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote ..mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu ...najua chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa dar
Kumbe huyu Chalamila ni mpuuzi kiasi hiki atakuwa na kichaa cha mbwa siyo bure
 
Binafsi nilishtuka kusikia RC anaongea vile, tukio la kupokea ndege Jamaa kaingiza pumba ajabu mpaka samia akaona aibu hata kutoa hotuba .
Mbongo akiwa anakula kupitia mamlaka yako atakusifu hata Sifa usizostahili
 
Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia samia apite bila kupingwa ...hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja ..ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia ccm kubaki madarakani...ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu .iombeeni nchi fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote ..mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu ...najua chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa dark

Kuna walihaodaika na propaganda za awamu iliyopita kuwa CCM ilikuwa imara, tulisema CCM ya awamu iliyopita haikuwahi kuwa imara bali ilikuwa na mwenyekiti mlevi wa madaraka, akatumia kofia yake ya uamiri jeshi mkuu kuibeba ccm. Madhara yake ameiacha ccm isiyoweza tena kushindana kisiasa, bali kutegemea janja janja.

Mama Samia kwakuwa hana tabia za aliyepita, lakini hata yeye na wañaccm wenzake hawana tena uwezo wa kushindana kisiasa, wote wamepata ulemavu wa kudumu wa kupita bila kupingwa. Kwahiyo mama Samia hataki kupora uchaguzi kama alivyofanya mtangulizi wake, lakini hataki kushindana maana anaona aibu kushindwa, hivyo anataka aachiwe goli wazi bila ushindani!
 
Binafsi nilishtuka kusikia RC anaongea vile, tukio la kupokea ndege Jamaa kaingiza pumba ajabu mpaka samia akaona aibu hata kutoa hotuba .
Mbongo akiwa anakula kupitia mamlaka yako atakusifu hata Sifa usizostahili
Huyo jamaa huwa ana pumba daily, labda useme za leo zimefunika nyingine.
 
Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja.

Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu. Iombeeni nchi, fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote.

Mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu, najua Chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa Dar.
Hawajipendi, usajili wa makanisa yao unaufanya wewe.
 
Tuna viongozi vilaza na mazuzu ndani ya taifa hili na mbaya zaidi ndio wenye madaraka na walio na akili kuacha siasa itawaliwe na wajinga
 
Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja.

Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu. Iombeeni nchi, fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote.

Mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu, najua Chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa Dar.

Bakwata hawawezi kukataa ni kama kumsukuma mlevi
 
Kuna walihaodaika na propaganda za awamu iliyopita kuwa CCM ilikuwa imara, tulisema CCM ya awamu iliyopita haikuwahi kuwa imara bali ilikuwa na mwenyekiti mlevi wa madaraka, akatumia kofia yake ya uamiri jeshi mkuu kuibeba ccm. Madhara yake ameiacha ccm isiyoweza tena kushindana kisiasa, bali kutegemea janja janja.

Mama Samia kwakuwa hana tabia za aliyepita, lakini hata yeye na wañaccm wenzake hawana tena uwezo wa kushindana kisiasa, wote wamepata ulemavu wa kudumu wa kupita bila kupingwa. Kwahiyo mama Samia hataki kupora uchaguzi kama alivyofanya mtangulizi wake, lakini hataki kushindana maana anaona aibu kushindwa, hivyo anataka aachiwe goli wazi bila ushindani!

wewe ni chadema najua kwasababu chadema akitaka kunya makufuli akitaka kulala na mkewe makufuli
 
Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja.

Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu. Iombeeni nchi, fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote.

Mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu, najua Chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa Dar.
Chalamila siku zote ni mnafiki tu.
Anasoma tu upepo wa Kiongozi wake yukoje basi anajitune kuendana nae ht km hapendi.
 
Makonda wako ndio hatutaki hata kumsikia
Nikikwambia huyu Chalamila bora hata Makonda sina maana Makonda namkubali.

Nimeandika mpaka kwamba na mimi wala simshabikii Makonda.

Naeleza tu kwamba uongozi wetu unatoka pabaya unaenda pabaya zaidi.

Umeelewa?
 
Back
Top Bottom