Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wadau wa siasa. Mnamkumbuka mkulima wa kigoma aliyewania urais ndani ya CCM 2015? Nakumbuka pia alipungukiwa hela za kuchukua Fomu na alipambana hadi kesho yake akazipata na kuchukua fomu...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Kodi inalipwa kwa ajili ya maendeleo ya taifa lolote husika na kuhudumia raia wake. Kanuni hii ya kulipa kodi ilikuwepo ulimwenguni miaka mingi hata kabla ya Yesu. Kwa Tanzania katika miaka mingi...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu , Natanguliza salamu , baada ya salamu hii najikita moja kwa moja kwenye hoja . Kwa Mujibu wa Ratiba iliyotangazwa na Chadema Kanda ya Nyasa, leo tarehe 28/2/2023 ndio siku ya kuhitimisha...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joaquim Alberto Chissano ameipongeza Tanzania kwa kuendelea kutunza na kuhifadhi kumbukumbu muhimu za historia ya harakati za Ukombozi wa nchi mbalimbali za Bara la...
0 Reactions
10 Replies
905 Views
Ni jambo la kushangaza sana, kuna taarifa ya CAG inayoonesha wizi na ubadhirifu wa matrilioni ya pesa, lakini spika anasema eti report itajadiliwa mwezi Novemba, sahizi waendelee kujadili masuala...
15 Reactions
68 Replies
3K Views
ZIARA YA MHE. KENNETH NOLLO KIJIJI CHA ISANGHA KATA YA CHIBELELA Mbunge Jimbo la Bahi, Dodoma Mhe. Kenneth Nollo Jana tarehe 13 April 2023 amefanya Mkutano wa hadhara Kijiji cha Isangha Kata ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
MHE. NORAH WAZIRI MZERU - AMEIULIZA SERIKALI MASWALI UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA, BUNGENI-DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amemuuliza swali Waziri wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza...
11 Reactions
137 Replies
13K Views
Huo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia. Wale waliokuwa wanaimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM," ndio hao watoto wao wanatuongoza leo...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Kipanya umetisha sana Ni ukweli ulio wazi mafisadi na baadhi ya Viongozi wetu wanamchukia sana CAG baada ya kuwaumbua katika ripoti yake CAG aongezewe ulinzi Pia soma > Nani anayekagua na...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Kesho Chadema wanaanza Mikutano yao Kusini mwa Tanzania kwenye Ngome ya CUF na ACT Wazalendo. Chadema wanaingia kwenye Mikutano wakiwa na Hati Safi kutoka kwa CAG tofauti na wenye Ngome yao ACT...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Hisia zangu kwa sasa ni kwamba! Tumekuwa nchi yenye viongozi wanaotamani waishi kama maisha ya kama wako peponi na kuwadharau kabisa wanaowafanya wafikie hatua ya kuishi hivyo, watu has ni...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Kituo cha Uwekezaji kimesema kimesajili miradi 93 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.2 sawa na Sh trilioni 2.814 za Tanzania katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka huu wa fedha...
0 Reactions
6 Replies
858 Views
Wajinga wacha tukamuliwe kuendesha offisi mbili ndani ya nchi 1. na wana furahia sana hali hio kwa sababu hawatoi pesa mifukoni mwao kuendesha offisi mbili. Ukweli ni kwamba gharama za kuendsha...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania natumai hamjambo wote! Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa niaba yangu na yenu mlio hai, wagonjwa na hata walio tangulia mbele ya haki usiku wa leo hata jana! Ndugu zangu...
17 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni kituo cha mabasi cha mawasiliano. Wako maaskari wengi lango wa kuingilia, kila gari linaloingia linasimamishwa na kuchukua hela kwa konda. Bahati nzuri nikashuhudia askari wa kike akipokea...
25 Reactions
86 Replies
6K Views
Ninamuomba mwenyezi Mungu muumba wa ardhi na mbingu kama kuna mtu anaongoza jamii na watanzania kwa ujumla bila uhalali wa wananchi basi atende maajabu asiione 2025 na wala asishiriki uchaguzi...
115 Reactions
344 Replies
28K Views
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 15.99 kwa ajili ya mfuko wa jimbo kwa majimbo 214 ya Tanzania Bara katika Mwaka wa Fedha wa...
0 Reactions
9 Replies
978 Views
Hii nchi ina matumizi ya anasa sana, kwamba ni lazima hawa jamaa wasafiri kote huko kutoka Kona za Tanzania kwenda Dodoma kushuhudia bajeti ya Tamisemi ikisomwa? Sina kumbukumbu kama hu...
5 Reactions
10 Replies
826 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…