Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli. Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii...
17 Reactions
171 Replies
8K Views
Serikali mara kwa mara imekuwa ikiwahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii na kufaulu lakini jambo la kusikitisha unapofika wakati wa ajira serikali hiyo hiyo inawabagua tena. Tumeona kwenye ajira za...
17 Reactions
75 Replies
11K Views
Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki amesema amekuwa akizipuuza jumbe na simu za baadhi ya viongozi wanaotaka watu wao wapate nafasi za ajira zilizotangazwa katika sekta ya afya na elimu.
4 Reactions
9 Replies
2K Views
mbunge fisadi nimrod mkono amejitangazia kuwa mbunge wa maisha musoma vijijini pia ameahidi butiama kuwa kama wash dc
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wadau? Hivi huyu mwanasheria wakili msomi nguli wa sheria za kimataifa yuko wapi maana asikiki tena hata ile kauli mbiu yake ya mkono kwa mkono inaelekea kusahaulika vichwani mwa wananchi...
0 Reactions
489 Replies
82K Views
Good evening? Yes nimesikia somo la maadili litakuwa linafundishwa mashuleni ili kuwaweka sawa kimaadili na malezi watoto na vijana wetu mashuleni na kwenye taasisi za elimu. UTAFUNDISHAJE...
2 Reactions
15 Replies
681 Views
MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), imeendelea kufanya maboresho makubwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Maboresho hayo yamechangia kuongeza ufanisi ikiwa ni pamoja na ongezeko la meli, shehena na...
3 Reactions
6 Replies
785 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Songwe Ndg Fatuma Hussein amewatoa hofu vijana kutokana na serikali kusitisha utoaji wa mikopo ya 10% iliyokuwa ikitolewa katika ngazi za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Akizungumza jana kwa simu na Mwananchi, Mbowe alisema Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia. "Sipendi sana kucomment in person kuhusu Sanga, lakini Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na Wabunge wa Mkoa wa DAR kuja na HOJA ya ONGEZEKO la SH.100 kwenye Mafuta kwa ajili ya kujenga Barabara za DAR. Hoja hiyo siiungi mkomo kwani ni kuzidi kuwaonea Wakazi wa DAR...
2 Reactions
15 Replies
835 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 9 leo Aprili 18, 2023. Serikali yasisitiza wazee wapewe vitambulisho vya huduma ya afya bila malipo Naibu Waziri Ofisi ya Rais -...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni kwenye Bunge cha 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 8 leo Aprili 17, 2023. SERIKALI YACHUKUA HATUA KUFUNGIA TOVUTI NA MITANDAO YA KIJAMII Akizungumzia hatua zilizochukuliwa...
6 Reactions
84 Replies
8K Views
Habari wakuu,hamjambo? Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa. Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia...
2 Reactions
54 Replies
2K Views
Nichukue fursa hii kuwapingeza Wazee Wetu Chifu Adam Sapi Mkwawa na mzee Mlawa kwa kutuheshimisha Wanyalukolo katika Uongozi wa mhimili wa bunge Baada ya nyie kustaafu katika nyadhifa zenu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nauliza tu kwa sababu wengi hawajui kwanini iliilazimu CCM kumsimamisha mwanasayansi kugombea urais wa JMT Ikumbukwe Magufuli hajawahi kushika uongozi wowote ndani ya CCM zaidi ya kuwa moja kwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Taifa letu limejaliwa kuwa na wabobezi wengi katika nyanja mbali mbali kama siasa, uchumi n.k. Nikiri kuwa siasa za nchi hii zinawaharibu wataalamu wetu wengi kwa ambao tumebahatika kumfahamu...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Watu watatu Wilayani Kilwa Mkoani Lindi, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma ya makosa ya kukutwa na meno ya Tembo 90 yanayokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni Moja. Watuhumiwa...
1 Reactions
7 Replies
910 Views
Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka. Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Yaan unategemea. Mwaka 2020 nijipange folen kuwapigia tena wapuuzi kura yangu ,yaan nitakuwa sifikirii vizuri kama alivyi Ben saanane, au Mtatiro na wengine. Hii CHADEMA imekuwa ya 1. Kutetea...
20 Reactions
229 Replies
19K Views
TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…