Miaka 2 ya Rais Samia, hakuna barabara mpya iliyojengwa

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.

Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?

Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.

Je, tuseme Serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
 
Kwa upande wa reli hali ipoje?
Kila siku utachana barabara mpya za kuelekea wapi? Aboreshe zilizopo na kuangalia maeneo mengine ambayo bado tuko nyuma
 
Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.

Je kwa mwendo huu tutafika? Je kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?

Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.

Je tuseme serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Barabara zote za mbweni zimejengwa na zimekamilika.
Wasukuma hamjui uchumi.
Ingelikuwa wewe ungeendeleza vipi mirandi mikubwa aloacha yule kichaa aloanzisha bila utaratibu.?
Alitumia kuiba na kunyanganya watu hela ku finance hayo mabarabara
 
Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.

Je kwa mwendo huu tutafika? Je kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?

Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.

Je tuseme serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Barabara hazijengwi kwa wiki...
Barabarani sio chakula cha kila siku..
Barabara zinaendelea kujengwa...
 
Back
Top Bottom