Kapotelea wapi Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mh. Nimrod Mkono?


Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
1,776
Likes
4,262
Points
280
Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
1,776 4,262 280
mkono-2bpx-jpg.623598


Wakuu ndugu yetu huyu yupo wapi?Kapotelea wapi huyu Mh Mbunge machachari sana na Wakili wa muda mrefu?

Matukio mengi makubwa yametokea lakini ukimya ni mkubwa sana?
 
A

adolay

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
7,959
Likes
3,922
Points
280
A

adolay

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
7,959 3,922 280
Tabia za akina Robert mugabe

Wamezeeka wee kuachia madaraka hawataki

Uzee unamtesa huyo
 
Aaron

Aaron

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
2,717
Likes
3,705
Points
280
Aaron

Aaron

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
2,717 3,705 280
Mmemzingua...sasa hvi anafanya mambo yake... Alikiwa mzamini mzuri wa bodi ya mikopo ya wanafunzi kipindi cha jk.. Katoa mkono wake sasa hv wanafunzi tunalia
 
K

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Messages
3,581
Likes
2,743
Points
280
Age
30
K

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2016
3,581 2,743 280
Hivi Bado mbunge au
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
8,339
Likes
9,355
Points
280
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
8,339 9,355 280
Hata hivyo ametosha next time kijana ajitokeze jimbo hilo. Amefanya mengi lakini muda wa kupumzika umewadia

Cairo's
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
7,676
Likes
8,263
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
7,676 8,263 280
Kapigwa Masolex mdomoni na miguuni.
 
P

poa tu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
1,182
Likes
1,599
Points
280
Age
47
P

poa tu

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
1,182 1,599 280
Ni Nimrod sio Nibroad
 
batamzinga

batamzinga

Member
Joined
Oct 23, 2012
Messages
35
Likes
23
Points
15
batamzinga

batamzinga

Member
Joined Oct 23, 2012
35 23 15
Naskia amefilisika hata hawezi kulipa mishahara. Watendaji wake wakubwa wamesepa wameanzisha practice zao kwa hiyo mkono advocates iko hoi bin taaban, halafu Alzheimer ime kick in. Ila kasaidia sana musoma vijijini kwa kujenga shule za maana.
 
M

Makosakuumbwa

Member
Joined
Mar 28, 2015
Messages
84
Likes
92
Points
25
M

Makosakuumbwa

Member
Joined Mar 28, 2015
84 92 25
Naskia amefilisika hata hawezi kulipa mishahara. Watendaji wake wakubwa wamesepa wameanzisha practice zao kwa hiyo mkono advocates iko hoi bin taaban, halafu Alzheimer ime kick in. Ila kasaidia sana musoma vijijini kwa kujenga shule za maana.
Maneno yako yana kaukweli kiasi juzi nilimuona maeneo yetu tunapo bangaiza kachoka sanaaa.
 
The Transporter

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,118
Likes
2,471
Points
280
The Transporter

The Transporter

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,118 2,471 280
Mgonjwa
 
muya ataho

muya ataho

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2017
Messages
512
Likes
333
Points
80
muya ataho

muya ataho

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2017
512 333 80
Naskia amefilisika hata hawezi kulipa mishahara. Watendaji wake wakubwa wamesepa wameanzisha practice zao kwa hiyo mkono advocates iko hoi bin taaban, halafu Alzheimer ime kick in. Ila kasaidia sana musoma vijijini kwa kujenga shule za maana.
Huyo jamaa kwanza ni mkabila hajasaidia musoma vijijini kitu chochote sema kawasaidia wazanaki wao
 
From Sir With Love

From Sir With Love

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2010
Messages
1,439
Likes
2,104
Points
280
From Sir With Love

From Sir With Love

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2010
1,439 2,104 280
Mlimkosea Nimrod kwa kutaka kufumfungia ofisi kwa madai ya deni.

Lakini uzee una mambo mengi, na utu uzima una mambo yake, hasa kama ulikuwa unakula vinono.

Mwache mzee wa watu apumzike. Na yeye pia apumzike.
 

Forum statistics

Threads 1,214,094
Members 462,499
Posts 28,500,713