Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania. Hadi muda huu ile clip na story yake...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukiachana na wizi na ukosefu wa maadili ngono na Pombe je ni taasisi gani mmeweza kuiendesha ikaleta manufaa kwa taifa letu la Asali na masiwa? Huyu Mama kosa lake lipo kuwa chini ya chama...
4 Reactions
7 Replies
993 Views
Nadhani wote sasa tumekwisha ona na kupata picha za mgogoro huu wa ubinafsishaji wa Bandari na mchakato mzima na jinsi habari za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya miundo mbinu walivyosafirishwa kwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hilo sakata limeibua wanafki wengi sana, nimeona wale muda wote waliokua wanamtia moyo raisi wetu wameanza kumtukana matusi. Tatizo ni bandari au kuna mengine? Mbali na uraisi, mama Samia ni...
9 Reactions
145 Replies
9K Views
Mnyonge mnyongeni haki yake apewe. "Pamoja na ubinadamu wako nabii jiwe upumzike kwa amani."
33 Reactions
131 Replies
15K Views
Mbowe hajafanya Ubaguzi wowote bali ametoa angalizo ambalo wengi wanaweza kuhisi. Sijasikia Msomi yoyote akiiponda kauli ya Mbowe kwa sababu wanajua imelenga kuponya Siyo kujeruhi CCM kuweni...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Watanzania tunataka nini zaidi kitokee ili tujue kuwa tunauzwa?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii thread ni fupi isichanganywe Iko hivi, KINGA ya Wana TISS kwenye Ile Document iliyopelekwa Bungeni (kikao Cha Wana CCM) pamoja na hii issue ya Bandari butakia ndio mwisho wa Tanzania. Kama...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
________________________ Suala la ubinafsishaji wa Bandari ya Dar es Salaam halina tofauti na mikataba ya kina chief Mangungo. Tunaweza kusema tofauti moja tu kwamba Chief Mangungo hakujua kusoma...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kuanzia watatembelea Italia na Ujerumani . Taarifa kamili ya ziara hiyo ya Ghafla hii hapa
17 Reactions
112 Replies
9K Views
TUNDU LISSU ANASEMA HAJAONA PALIPOANDIKWA MIAKA 100,SASA MUULIZENI MKATABA USIOVUNJIKA BAADA YA KUSAINIWA MAANA YAKE NINI? Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ndio kauli ya serikali iliyotolewa leo , na kwamba mambo hayo mawili yamesababisha kuchelewa kukamilika kwa matengenezo ya vichwa vya Treni hiyo . Chanzo: Swahili Time Toa Maoni yako...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi Mara zote bandari...
10 Reactions
57 Replies
3K Views
Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika ukuwaji wangu sijawahi kuona au kusikia nchi yetu ya Tanzania kuingia mkataba wenye manufaa na kampuni au wawekezaji wa kigeni dhidi ya rasilimali za nchi hii. 1. Makaburu waliwekeza...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu, tumedharauliwa kiasi cha kutosha, tumeonewa kiasi cha kutosha, na watanzania wenzetu huko Loliondo wamenyanyaswa kiasi cha kutosha. Vijipesa vya mwarabu vimewatia upofu...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
1. WATANZANIA Watanzania wote katika kila Jimbo wahakikishe wanampigia simu Mbunge wao wakimkanya kuhusu kuridhia mkataba ovu wa kuwauza Watanganyika Uarabuni. 2. ASASI na TAASISI MBALIMBALI Kila...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Kiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake. Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa haya mambo yanayoendelea katika nchi yetu yanaendelea kuonesha kwanini mafisadi, wala rushwa na wafanya magendo walifurahi baada ya kifo cha Magufuli. Walijua kuwa wamepata mwanya wa kufanya...
22 Reactions
90 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…