Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miezi miwili inakatika haiujulikani waziri huyu mchapakazi yuko wapi? Kwenye matukio muimu kama bungeni haonekani, kuanguka kwa ghorofa kunakomhusu ukizingatia bodi zote za ERB, na AQRB ziko chini...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kuna ambao nitawakwaza katika hili nawaombeni Radhi ila nikiwa kama Mzalendo na Mtanzania wa kweli nadhani nami pia nina Wajibu katika Kuwasilisha yale ambayo kiukweli nakumbana nayo 24/7...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
"Mimi ni mzee sasa na maneno yangu pengine hudhaniwa ndoto za uzee. Ningetamani mambo mawili, moja la hakika lingine la kufikiriwa. La hakika tuwashawishi watanzania Rais wetu asipate kura ya...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Baada ya uchaguzi mkuu ambao ni moja ya chaguzi mbaya kupata kutokea Tanzania, bunge la Tanzania kupitia wabunge wake wa chama kimoja waliopatikana baada ya uchaguzi kuchafuliwa na tume ya...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Juzi wakati Rais anapokea Report ya CAG, alitamka mambo mengi kwa hasira na jazba sana hadi wengine wanaona hakuwa sahihi. Kwa cheo alicho nacho na maana ya report ya CAG hakutakiwa kutoa hukumu...
12 Reactions
46 Replies
4K Views
Mubashara: Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango ameapishwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na Jaji mkuu wa Tanzania mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma katika lkulu, Chamwino...
7 Reactions
151 Replies
20K Views
Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha Saba, Ijumaa Aprili 14, 2023 SERIKALI YASEMA TANZANIA INA DIASPORA MILIONI 1.5 Takwimu hizo za Diaspora ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi za Kibalozi za...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Machi 27-29, 2023 alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo alichangia kiasi...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Habari wadau wa siasa. Mnamkumbuka mkulima wa kigoma aliyewania urais ndani ya CCM 2015? Nakumbuka pia alipungukiwa hela za kuchukua Fomu na alipambana hadi kesho yake akazipata na kuchukua fomu...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Kodi inalipwa kwa ajili ya maendeleo ya taifa lolote husika na kuhudumia raia wake. Kanuni hii ya kulipa kodi ilikuwepo ulimwenguni miaka mingi hata kabla ya Yesu. Kwa Tanzania katika miaka mingi...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu , Natanguliza salamu , baada ya salamu hii najikita moja kwa moja kwenye hoja . Kwa Mujibu wa Ratiba iliyotangazwa na Chadema Kanda ya Nyasa, leo tarehe 28/2/2023 ndio siku ya kuhitimisha...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joaquim Alberto Chissano ameipongeza Tanzania kwa kuendelea kutunza na kuhifadhi kumbukumbu muhimu za historia ya harakati za Ukombozi wa nchi mbalimbali za Bara la...
0 Reactions
10 Replies
905 Views
Ni jambo la kushangaza sana, kuna taarifa ya CAG inayoonesha wizi na ubadhirifu wa matrilioni ya pesa, lakini spika anasema eti report itajadiliwa mwezi Novemba, sahizi waendelee kujadili masuala...
15 Reactions
68 Replies
3K Views
ZIARA YA MHE. KENNETH NOLLO KIJIJI CHA ISANGHA KATA YA CHIBELELA Mbunge Jimbo la Bahi, Dodoma Mhe. Kenneth Nollo Jana tarehe 13 April 2023 amefanya Mkutano wa hadhara Kijiji cha Isangha Kata ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
MHE. NORAH WAZIRI MZERU - AMEIULIZA SERIKALI MASWALI UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA, BUNGENI-DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amemuuliza swali Waziri wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza...
11 Reactions
137 Replies
13K Views
Huo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia. Wale waliokuwa wanaimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM," ndio hao watoto wao wanatuongoza leo...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Kipanya umetisha sana Ni ukweli ulio wazi mafisadi na baadhi ya Viongozi wetu wanamchukia sana CAG baada ya kuwaumbua katika ripoti yake CAG aongezewe ulinzi Pia soma > Nani anayekagua na...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…