Spika Tulia waite kamati ya maadili wabunge hawa tuhuma za rushwa bungeni

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
Mheshimiwa Spika sisi watanzania tunakuomba kwa heshima na taadhima wabunge hawa waitwe kamati ya maadili ya Bunge na baadaye wahojiwe TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa bungeni.

1. Rashid Shangazi Mbunge wa Mlalo- Tuhuma za kushawishi mamlaka kuipa kazi Kampuni ya DP World.

2. Januari Makamba- Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa Nishati- Tuhuma za kugawa fedha na majiko ili kuipa upendeleo kampuni za mradi wa gesi wa LNG.

3. Joseph Msukuma- Tuhuma za kuhongwa mamilioni ya dola na kupewa gari jipya VX-V8 ili kuipigania Kampuni ya DP kununua bandari za Tanganyika.

Wabunge wengine tunaweza kuendelea kuwaorodhesha.
 
Kuna viieite moja ilionyeshwa mitandaoni ikidaiwa ni ya bush doctor kasheku msukuma ikichukuliwa kama kuwananga wasomi huku kwenye mjadala bungeni kajamaa maneno yakikatoka mfululizo utafikiri kamemeza mota, kumbe kamelamba mtonyo kwenye ziara kule dubai.​
 
Mheshimiwa Spika sisi watanzania tunakuomba kwa heshima na taadhima wabunge hawa waitwe kamati ya maadili ya Bunge na baadaye wahojiwe TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa bungeni.

1. Rashid Shangazi Mbunge wa Mlalo- Tuhuma za kushawishi mamlaka kuipa kazi Kampuni ya DP World.

2. Januari Makamba- Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa Nishati- Tuhuma za kugawa fedha na majiko ili kuipa upendeleo kampuni za mradi wa gesi wa LNG.

3. Joseph Msukuma- Tuhuma za kuhongwa mamilioni ya dola na kupewa gari jipya VX-V8 ili kuipigania Kampuni ya DP kununua bandari za Tanganyika.

Wabunge wengine tunaweza kuendelea kuwaorodhesha.
Hela ya rushwa ina tabia ya kiherehere! Msukuma hata mkataba aujasiniwa yeye Kesha kimbilia kununua gari ya kifahari.😀😀
 
Mheshimiwa Spika sisi watanzania tunakuomba kwa heshima na taadhima wabunge hawa waitwe kamati ya maadili ya Bunge na baadaye wahojiwe TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa bungeni.

1. Rashid Shangazi Mbunge wa Mlalo- Tuhuma za kushawishi mamlaka kuipa kazi Kampuni ya DP World.

2. Januari Makamba- Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa Nishati- Tuhuma za kugawa fedha na majiko ili kuipa upendeleo kampuni za mradi wa gesi wa LNG.

3. Joseph Msukuma- Tuhuma za kuhongwa mamilioni ya dola na kupewa gari jipya VX-V8 ili kuipigania Kampuni ya DP kununua bandari za Tanganyika.

Wabunge wengine tunaweza kuendelea kuwaorodhesha.
Mimi nataka majina yote ya wabunge walio katika kamati ile ambao walienda Dubei. Tafadhali mwenye orodha yao naomba ,
 
Mheshimiwa Spika sisi watanzania tunakuomba kwa heshima na taadhima wabunge hawa waitwe kamati ya maadili ya Bunge na baadaye wahojiwe TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa bungeni.

1. Rashid Shangazi Mbunge wa Mlalo- Tuhuma za kushawishi mamlaka kuipa kazi Kampuni ya DP World.

2. Januari Makamba- Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa Nishati- Tuhuma za kugawa fedha na majiko ili kuipa upendeleo kampuni za mradi wa gesi wa LNG.

3. Joseph Msukuma- Tuhuma za kuhongwa mamilioni ya dola na kupewa gari jipya VX-V8 ili kuipigania Kampuni ya DP kununua bandari za Tanganyika.

Wabunge wengine tunaweza kuendelea kuwaorodhesha.
Spika mwenyewe aliingia Bungeni kwa rushwa,ataweza kuikemea rushwa? Hebu tuwe serious kidogo basi
 
Jamani hii nchi ni yetu sote. Tuna haki kikatiba kupigania rasilimali za nchi yetu na vizazi vyetu vya baadae.

Hivyo naomba orodha ya Wabunge walio kwenye Payroll ya DP World, walio safiri kwenda Dubai ku saini ule ujinga.

Wabunge hawa, kivyovyote vile hawapaswi kuchangia mjadala wowote wa Mkataba wa DP World na Tanzania iwe Bungeni, Redioni au TV.

Tayari wana Conflict of Interests. Wana uza nchi kwa ajili ya matumbo yao. Mimi naanza:

1. King Msukuma, Mbunge wa Geita.
 
Jamani hii nchi ni yetu sote. Tuna haki kikatiba kupigania rasilimali za nchi yetu na vizazi vyetu vya baadae.

Hivyo naomba orodha ya Wabunge walio kwenye Payroll ya DP World , walio safiri kwenda Dubai ku saini ule ujinga.

Wabunge hawa, kivyovyote vile hawapaswi kuchangia mjadala wowote wa Mkataba wa DP World na Tanzania iwe Bungeni, Redioni au TV. Tiyari wana Conflict of Interests. Wana uza nchi kwa ajili ya matumbo yao. Mm na anza:

1. King Msukuma. Mbunge wa Geita
wote waliokwenda arabuni
 
Back
Top Bottom