Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni...
Acheni janjajanja za kisiasa
Acheni janjajanja za kisiasa na badala yake jikite katika masuala ya msingi na maendeleo ya wananchi. Epusheni siasa za matusi, ugomvi wa kibinafsi, na uzushi ambao...
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla ameonya kuwa Tanzania inajenga Taifa la Watu wavivu, Wanapenda kula Bata bila kufanya kazi, Wala rushwa, Wezi, Madhulumati, Waongo Waongo na wanapenda...
Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Mageuzi katika bandari kupitia ushirikiano na DP World yataleta mabadiliko muhimu ambayo yataleta faida kubwa kwa uchumi na biashara. Baadhi ya faida hizo ni:
1. Kupunguza muda wa ushushaji wa...
Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika...
Tulishafahamu mapema pale yule jamaa wa National housing alipopelekwa kuwa msajili wa hazina. Eti Mchechu ndiye msajili wa hazina! Mtu asiye na ethics. Mtu aliyewekwa na Luhanjo. Luhanjo...
Katika mjadala wa leo kuhusiana na bandari baadhi ya wachangiaji wengi, kuanzia wa kwanza professor Kitila Mkumbo walionyesha kutoridhishwa na kauli ya muheshimiwa Mbowe ,mwenyekiti wa Chadema...
Hayati Magufuli alifanya Mambo mengi mazuri, lakini hili la kutuletea wabunge wa chama kimoja bungeni linamtia doa kubwa sana, Leo bungeni kila mmoja ni kupongeza tu! Hakuna hata mmoja...
Chadema ni kikundi cha wanaharakati kama vile ......na ..... na wamethibitisha kuwa utamaduni wa Siasa za amani,upendo na udugu hawazijui na hawataki kuzijua kabisa!
Niliwahi kuandika siku moja...
Kwanza kabisa niwape pole ndugu zangu watanzania kwa msoto mkubwa tulioupata kwa mwaka 2022.Wengi wetu tulitegemea mambo angalau yangekuwa nafuu lakini tulikula msoto kama tuko jehanamu😀😀😀😀 umeme...
Nakumbuka mchungaji Mtikila RIP Siasa zake zilijikita kwenye Zanzibar iliyo Huru, Tanganyika iliyo Huru zote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mashambulizi ya leo bungeni kwa Mbowe ni...
Kesho 10/06/2023 ndio siku ya kuwatambua wabunge watakaoamua kuuza bandari yetu , kwa kuweka kumbukumbu sawa tutaweka majina yao yote pamoja na Majimbo yao ili historia iwakumbuke kwa kuuza...
Unajuwa yapo mambo hili Taifa asipo tokea mtu kama Jerry Rolling wa Ghana kamwe hatuto toka hapa tulipo.
Hivi umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi na kile kina endelea kwa...
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Hofu ni Hali tu na Wala sio hoja. Watanzania tumeendelea kuwa mahodari wa hofu wasio na hoja.
Nakumbuka mwaka 1992 wakati wa mjadala wa Nchi kuwa na mfumo wa vyama vingi, wengi sana walipinga kwa...
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha somo kinavosema....
Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA...
Nchi yetu ipo katika hatua za mwisho kuangamizwa na mafisadi
Mafisadi wapo smart sana
Wamezipa high light Yanga na ndugu yake Simba ili waibe watakavyo bila kupigiwa kelele
Kumbe Sasa
Kulipa...
Kwa wale tuliomfuatilia vzr leo bungeni kwenye hoja ya kupitisha azimio la bunge la kukubali makubaliano baina ya Tanzania vs Dubai watakabuliana na mimi kuwa mama huyu ni msomi hasa wa sheria...
Haya yanayoendelea yanaonyesha udhaifu na kukosa uwezo wa kiuongozi na kimaono kwa kiongozi. Kama kiongozi makini unatakiwa utumie busara na akili nyingi kudadavua mambo.Kabla ya jambo hili kufika...