Kutokuwa na utambuzi wa Chama chao cha Chadema, ilhali na kesi ikiwa inaendelea mahakamani.
Haizuii kuwapongeza pale wanapoibana mamlaka kwa hoja na maswali yenye tija kwa wananchi huko Bungeni...
NANCY HASSAN NYALUSI - AMEIULIZA MASWALI WIZARA YA NISHATI, BUNGENI, DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Hassan Nyalusi amemuuliza swali Waziri wa Nishati Bungeni, Dodoma leo...
Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa...
Kwenye mazingira ambayo wengi wanalalamikia hali ngumu ya uchumi, na hata katika ugumu huo wanatozwa kodi na tozo, halafu anapatikana wa kula pesa hiyo iliyopatikana kwa taabu, na watoaji wa pesa...
Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically.
SGR Mwanza ina faida gani...
Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)amebaini kasoro katika vyama vya siasa vikiwamo visivyo na bodi za wadhamini zenye ufanisi.
Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Demokrasia na...
Mzee Makamba na Katibu Mkuu Mstaafu wa ccm amehoji kama kuna mtu ana mashaka tena na uweso wa kiutendaji wa Rais Samia kulingana na hatua Anazochukua.
Makamba amesema sio Haki kumfundisha kazi...
Pamoja na mazuri ninayohisi yamefanywa na CAG, najiuliza ni nani anayemkagua katika utendaji wake?
-------- Michango-------
SubiriJibu anasema,
Mleta mada,
Ukiachilia mbali wanaokubeza kwa...
Ripoti ya CAG mwaka 2017- 2018 ilibaini kuwa TTCL ikiidai Wizara ya Ujenzi, Uchukuz na Mawasiliano rakribani Bilion 20.63 kama marejesho ya gharama za ujenzi wa mkongo wa Taifa.
2021 CAG Report...
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika!
Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani...
Kuna ulazima gani kamati za Bunge kusubiri hadi mwezi August ndio wawaite na kuwahoji waliotajwa kwenye ripoti ya CAG?
Halafu Wananchi tusubiri hadi mwakani kujulishwa kilichojiri 2021/2022...
Mimi ni mfuasi wa upinzani, sijui Lissu yupo wapi? Nilimsikia na kumuona alipotoka Belgium na kufanya mkutano wa hadhara hapa Dar. Baada ya hapo hajasikika tena.
Nimekuja hapa JF kwa kujua...
Narudia tena mnaotarajia kuna katiba mpya mnajidanganya.Katiba mpya haipatikani kwa wananchi kuwaomba viongozi inapatikana kwa wananchi kuwalazimisha viongozi watake au wasitake.
Katiba iliyopo...
Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere.
EXTRACT YA RIPOTI INASEMA
"Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa...
Bila shaka yo yote huyu Mhandisi John Nzulule aliyetenguliwa na Rais si mara yake ya kwanza kutupiga katika ununuzi wa ndege za serikali. Nadhani ametupiga katika ununuzi wa ndege serikali na pia...
Nisikuchoshe,
Nimeona waziwazi maisha yalivyo mambo ni kama ya mwendazake, pamoja na muendelezo wa alipoishia hayati, bado hujapindua changamoto, kuna kufeli maeneo mengi.
Zaidi na zaidi...
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amesema Kikatiba Kamati za Bunge za Hesabu za Mashirika ya Umma PAC na ile ya Hesabu za Serikal za Mitaa LAAC zinatakiwa ziongozwe na Wabunge wa Upinzani...
Kama kuna mtu ambaye anazo au anafahamu sehemu ya kupata stats za bima ya taifa.
Stats ni kama Idadi ya waliojiunga, umri wao, kiasi cha malipo waliokusanya, malipo bima iliyolipa.
Kuna mawazo...