Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wananchi mazao yao yameharibiwa na mwekezaji na kuna mgogoro ila yeye anasema Ijumaa?? Kweli wananchi ndio mabosi wako unasema Ijumaa? Who are you? Maulidi Dotto? Sipendi kuona mwananchi wa...
2 Reactions
10 Replies
106 Views
Wanabodi kwa wiki hii nzima,nimekuwa nikishinda ukumbi wa JNICC,kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya VETA, tumamaliza jana,nikajua shauri ya uchovu nitalala fofofo,kumbe wapi!usingizi umekata hivyo...
17 Reactions
89 Replies
4K Views
Wanabodi https://www.youtube.com/live/w_BXPt8pFfQ?si=DkI_l03s5LkLC_bY Niko hapa ukumbi wa JNICC kuwaletea Live, uzinduzi wa Maadhimisho ya miaka 30 ya VETA na miaka 50 ya ufundi stadi nchini...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Chadema shikilia hapo hapo kama Iran pale Homz. Kusikilizwa kabla ya makubaliano ndio jambo la msingi. Mioyo ya wanachadema imejaa makovu waombwe msamaha kwanza ndipo wahitajike . Toa boriti...
2 Reactions
8 Replies
198 Views
Hi inatokana n.a. Idadi ya wanaoendelea kutekwa na kuuawa kwa maagizo kutoka Juu imeiacha kwa mbali sana awamu ya 5 Kwenye awamu ya 5 tulishuhudia mauaji na utekaji lakini so kwa kiwango cha...
21 Reactions
49 Replies
742 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, leo Agosti 10, 2026, amewasilisha Ripoti ya Utendaji ya Robo ya Nne ya Mwaka wa Fedha 2025/26 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...
2 Reactions
7 Replies
231 Views
Makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamekishtaki tena chama hicho katika mahakama kuu ya Dodoma. Walalamikaji katika shauri hilo Miscellaneous Cause No. 205810F of 2026...
0 Reactions
18 Replies
416 Views
Naibu Waziri Mkuu katika Baraza Kivuli la Mawaziri la Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amehoji kwanini kwenye nchi yetu watu wanyamazishwe? kwanini ukihoji serikali iwe ni makosa ya uhaini na...
1 Reactions
20 Replies
221 Views
Najiuliza hizo ndo sura zilizo jaa Bashasha zinaitishia ikulu ya magogoni na Ile ya DODOMA jangwani? Najiuliza hivi mbona wanao onewa ndio wanao ng'ara? Hivi maccm mkiona hizi picha mnajisikiaje...
4 Reactions
12 Replies
601 Views
Mama ukiwa mchapa kazi na sio mla rushwa na unapenda haki unakuwa adui yake.
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Hawa SS walikuwa ni kitengo cha Chama. SS maana yake "protectors". Hawa ndio walifanya mauaji sana. Wao ndio walikuwa wakiziongoza Concentration camps. Walikuwa wanaongozwa na Himmler. High...
6 Reactions
11 Replies
240 Views
Wakuu hii imakaaje kwamba kwamba wazanzibar ndio wanauchungu na Zanzibar ila watanganyika wao ni mapoyoyo yanalipwa kufanya chochote. Wazanzibar walikupigia kura kwa sababu ya uwezo au uzanzibari...
5 Reactions
11 Replies
128 Views
Si maneno yangu Bali ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu (CIVILIAN-COIN). NANI KUJIUDHURU Urais? Kuna nchi Fulani Afrika Mashariki, Rais atajiudhuru kwa ujinga wake wa kumuona Civilian-Coin hafai...
1 Reactions
6 Replies
241 Views
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba??? Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu...
20 Reactions
713 Replies
139K Views
Mwenyekiti wa Makatibu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Basil Lema, amesema chuki na migogoro ya kisiasa imekuwa ikitawala siasa za Tanzania, hali inayowafanya Wananchi kushindwa kutambua...
1 Reactions
4 Replies
88 Views
Naogopa mimi kabisa,huyu mtamzania alindwe kwa gharama zote.
9 Reactions
10 Replies
367 Views
Uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro unapenda kuufahamisha umma kuwa haumtambui ndugu Lembruce Mchome kama Mwenyekiti wa Jimbo la Mwanga, kinyume na jinsi anavyojitambulisha katika shughuli mbalimbali...
6 Reactions
16 Replies
377 Views
  • Featured
Tanzania imeshika nafasi ya pili duniani kwa kuporomoka zaidi katika masuala ya haki za kisiasa na uhuru wa raia kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti mpya ya shirika la kimataifa la Freedom House...
20 Reactions
53 Replies
1K Views
Tokea awekewe vikwazo na Marekani, huyu aitwaye Mafwele sijamsikia wala kumwona tena. Hivi yuko wapi huyu kiumbe? Ila hawa watu hawana kabisa busara. Miaka 10 ijayo huyu Mafwele hatokuwa na...
20 Reactions
27 Replies
567 Views
Baada ya kukaa mahabusu za Polisi za Kibaha Pwani, Osterbay na Central Dar es Salaam kwa takribani siku 48 hatimaye leo Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani limemfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
2 Reactions
11 Replies
274 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…