Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi siamini kama hukupikwa ukaiva na mtangulizi wako, nakataa kabisa! Ulipokuwa msaidizi wake, Mambo mengi ulikuwa ukiyamudu pasipo shaka Wala wasiwasi, yaani uliiva haswaaa! Nini kimekukuta...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari Watanzania, Binafsi nimeamini Prof. Mbarawa hafai kuwa mtumishi katika kiwango cha Uwaziri katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni waziri muoga, waziri picha tu. Ni Profesa aina ya le...
37 Reactions
119 Replies
9K Views
Wajumbe, Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji. Samia kusema...
8 Reactions
59 Replies
7K Views
MBUNGE JULIANA SHONZA AWAPIGA MARUFUKU WANAOTAPELI WAJANE WILAYA YA MBOZI "Wanaibuka watu, badala ya kuwasaidia na kuwaunganisha wajane wao wanafanya kuwatapeli na kuwafilisi wajane...
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Wajumbe, Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU. Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika...
21 Reactions
88 Replies
9K Views
Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu, msomi wa kiwango cha Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Cape Town, Afrika ya Kusini sasa anadhalilishwa na kutwezwa na siasa. Msomi huyu na Mhadhiri wa...
44 Reactions
47 Replies
7K Views
Habari wana JF, Tumeacha njia, tupo ukingoni. Nchi ipo pabaya sana, Kwa viashiria vyote! Hakuna mjadala, wala hakuna mwenye majibu. Si UMOJA wetu, wala.......Si UZALENDO wetu......., vyote...
16 Reactions
30 Replies
3K Views
DP World: Myth Vs. Facts MYTH: The Bush Administration is outsourcing the security of our ports to a company owned by the Government of Dubai in the United Arab Emirates (UAE). FACT: The United...
1 Reactions
7 Replies
970 Views
Ndugu habari za asubuhi, Wakati tukiendelea kuelewa suala la bandari, taratibu wanasiasa wanazidi kutuchanganya. Jana waziri mwenye dhamana ameeleza kuwa kulifanyika ushindani wa makampuni 7...
1 Reactions
8 Replies
718 Views
Napenda kumshukuru sana Mhe. Rais kwa kuufanyia kazi ushauri wangu nilioushauri kwa Waziri Mkuu mwezi February juu ya suala la kuuza vyakula nje. 👇 Kwa Waziri Mkuu. Farao hakuuza chakula nje kwa...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Wajanja walikutana na wajanja wenzao... In 2021 Kenya turned to port operator Dubai Port World (DP World) to manage Lamu Port due to a lack of capacity at the state-run Kenya Ports Authority. It...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Asubuhi ya Leo nimeamka na kumkumbuka mwalimu wangu Mwakitwange aliyetokea chuo cha ualimu Katoke akiwa amevaa gwanda za JKT Enzi hizo. Simkumbuki alinifundisha somo gani ila nakumbuka tu alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Kumbe TICS nao mkataba wao ulikuwa usio na mwisho na bado tumewapiga chini na kuvunja mkataba ,so ishu ya muda sio hoja tena lolote linaweza kutokea mbeleni tukabaki na bandari na kuweka kampuni...
14 Reactions
114 Replies
6K Views
PANGU PAKAVU TIA MCHUZI NILE ____________________________ ✍🏽Yesu alianza kazi ambayo alikusudiwa na Mungu kuja kuifanya duniani alipotimiza miaka 30 . Na aliifanya kwa miaka 3 tu...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama Taifa hatupo pamoja; wazee wamegawanyika; huu siyo uhuru wa kuongea ni hasira ya kuyumba kwa misingi yetu. Mwalimu alituambia tinaweza leo tunaambiwa hatuwezi; wakati tunaamini tunaweza...
4 Reactions
3 Replies
630 Views
Ajira zilizopo bandari katika ngazi zote nyeti ni watoto wa wakubwa; wanaofanya kazi wote forodha ni watoto wa wakubwa; wanaosimamia miundombinu ni watoto wa wakubwa. Wanapataje huu mchongo? Fedha...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani. Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba...
0 Reactions
5 Replies
817 Views
Akihutubia Umati wa Waandishi wa Habari uliojazana kumsikiliza kwenye Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni , katika masuala Muhimu mengi sana aliyozungumza (sitaki kuyarejea) , Freeman Mbowe...
13 Reactions
42 Replies
3K Views
Mkataba wa Bandari. Kifungu 4(2) kinatufunga. Sheria yetu ya tafsiri = kifungu 53 (1) na (2) viko wazi jambo la kiutashi tumia neno MAY. Kama lazima tumia SHALL. Mkataba unatumia WILL kinyume...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanzoni tulijulishwa kuwa walipatakana Kwa mfumo wa Single Source, Leo hii Tunaambiwa kuwa ilikua ni Tender. Sasa, tunaomba kujua, Tarehe ya Tender kutangazwa, waliomba, waliokuwa disqualified...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…