Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuangalie makala inayoiangalia University of Dar es Salaam lakini ni hali ktk vyuo vikuu vyote nchini. Source...
1 Reactions
2 Replies
699 Views
Lissu anaendelea na mikutano yake Kama kawaida huku taifa letu likiwa na msiba mzito Sana. Hii ni dharau na kukosa utu kabisa. Hatukutegemea Lissu kufanya jambo la ajabu kama hili. Kweli kabisa...
0 Reactions
15 Replies
975 Views
Ukifuatilia kwa makini mabadiliko ya Tabia nchi yamepiga hodi nchini mwetu. Lakini naona kama chama kilichoko madarakani hakina mkakati mahsusi wa kupambana na matokeo ya mabadiliko ya Tabia nchi...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 . Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha...
17 Reactions
76 Replies
6K Views
MBUNGE KUNTI MAJALA - NINI KAULI YA SERIKALI KUHUSU MAKATO YA TOZO NA MTANDAO KUTOKUFANYA KAZI VIZURI Mhe. Kunti Majala Mbunge wa Viti Maalum amemuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Nimeona nijitokeze kidogo na mimi kuandika machache kuhusiana na Kifo cha Bernard Membe , Mwanaccm aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Tanzania. Ni hivi , kwa vile Mahakama ilishaamuru...
11 Reactions
67 Replies
6K Views
Wanabodi, Walio ughaibuni wana msemo mmoja ambao nita unukuu kwa Kiingereza, "If you want anything done right, do it yourself". Uchambuzi mfupi wa msemo huu unaweza kuashiria mambo mengi lakini...
2 Reactions
3 Replies
602 Views
Ndugu zangu Watanzania, Namshauri Mheshimiwa Mbowe achukue hatua za makusudi za kuudhibiti mdomo wa Lissu, maana kwa sasa umeshapoteza muelekeo na dira. Ndio sababu anaongea chochote kinachotua...
3 Reactions
171 Replies
7K Views
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amewashauri watu walioko mikoani kusitisha safari za kuja Dar es Salaam wakati wa ziara ya Rais wa Marekani, Barrack Obama kutokana na wingi wa...
1 Reactions
181 Replies
16K Views
Binafsi nitamkumbuka Membe kama mtu jasiri na mwenye kusimamia misimamo yake hadi kifo kilipo mchukua. Ni mwana CCM pekee aliyewahi kuikosoa serikali yake na mwenyekiti wake bila uwoga wala...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
My Take Kama unadhani CCM itakuja kuacha wizi utakuwa unajidanganya sana. Wizi upo kwenye damu na kutapakaa kwenye mifupa. Leo hii wakitenga miradi basi unakuta majamaa wamechachamaa kama manyigu.
2 Reactions
7 Replies
588 Views
“Niguse ninuke” "Baba Askofu Emmaus Mwamakula! Tumsifu Yesu Kristo! Napenda nikushukuru sana kwa ujumbe mzito na wenye tija katika Taifa. Nikiri kwamba nami nimekuwa nakufuatilia sana kwa maoni...
80 Reactions
270 Replies
35K Views
Mh Rais, Mama Yetu mpendwa, Mama mnyenyekevu na msikivu Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bila kuchelewa, Ni maombi yangu kwako Kama Mtanzania, Naomba Umteue Bernard Camilus...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais...
53 Reactions
211 Replies
16K Views
Siasa ni Sayansi! Membe ameanza taratibu kurejesha umaarufu wake kwa kumshughulikia Musiba ambaye alikuwa kipenzi cha Shujaa Magufuli. Kwa mbali nawaona CHADEMA wanamnyemelea kimtindo kwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau Nawasabahi Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI? Na kwanini liitwe...
7 Reactions
80 Replies
8K Views
Taarifa ya CAG ilionekana kukera viongozi wa juu wa serikali na nilijuwa kuwa hatua kali kwa wabadhilifu hadi sasa wangekuwa hawapo maofisini kumbe kilikuwa kiini macho cha kuonesha chukizo mbele...
1 Reactions
5 Replies
777 Views
Kama ni hivyo, basi ni bora Musiba aombe msamaha kwa Membe. Halijaharibika jambo. Lakini hivi inavyotokea sasa Membe anataka kufanya jambo ambalo haielekei kama litakuwa na faida yoyote kwake...
10 Reactions
161 Replies
10K Views
Mbunge wa Jimbo la Ngara - Kagera Ndaisaba George Ruhoro leo ameuliza swali Bungeni; Lini Bwawa la Kufua Umeme la Rusumo litawashwa ili kupunguza changamoto ya kukatika katika umeme inayotukabili"...
0 Reactions
1 Replies
613 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…