Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,617
- 287,350
Nimeona nijitokeze kidogo na mimi kuandika machache kuhusiana na Kifo cha Bernard Membe , Mwanaccm aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Tanzania.
Ni hivi , kwa vile Mahakama ilishaamuru Mali za Musiba ziuzwe ili kulipia fidia ya Membe , basi jambo hilo ni lazima litekelezwe tu (Tayari lilishaanzwa kutekekezwa).
Labda jambo litakaloongezeka hapo ni kwa familia ya Membe kufungua mirathi kwa ajili ya Kitita kitakachopatikana baada ya wateja kumalizia hela zilizosalia baada ya kutoa kianzio .
Mungu aiweke Roho ya Marehemu Membe mahali inapostahili , Amina .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app