Hii ndio taarifa iliyotufikia hivi punde kwamba baba Mzazi wa Le Mutuz Nation amewasili Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki msiba.
Taarifa zinaonesha kwamba Mzee Malecela amewasili akitokea...
Nianze kwa kusema kwamba kama Serikali ingekuwa na umiliki wa moja kwa moja wa eneo la Kariakoo ,hakika tusishuhudia mgomo wenye kuumiza walaji kama inavyoshuhudiwa.
Huu ndio ushauri wangu kwa...
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo.
Tundu Lisu amesema anategemea...
kiapo ni ahadi ya mwisho ya uaminifu wako,mala nyingi viapo huwa rahisi kuvitunza hasa pale unapokuwa ni mgeni kuingia katikati ya hicho kiapo, lakini kadri ya siku zinavyokwenda mtu anaweza...
Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam.
Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi...
Eneo kama Kariakoo, ilitarajiwa suti nyeusi wawepo kwa Kila namna, wawepo kama wamiliki wa maduka, kama watendaji wa mitaa na Kata, wauza kahawa, machinga, wawe ndani ya mchezo na mbele ya matukio...
Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana.
Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa...
Iwekwe kanuni kwamba kiongozi yeyote wa kitaifa akiharibu katika awamu yake asikaribishwe kabisa kwenye hafla za kitaifa Wala kuonekana kwenye meza kuu.
Mtu kama amelitia taifa kwenye shida...
CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais...
Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? Kumbe akaja kuharibu mpaka waosha magari...
Jamaa yupo live ITV akiwa na kundi la askari polisi waliojihami kwa silaha za moto kwenye mitaa ya kariakoo wakipita vichochoroni mtaa kwa mtaa huku wakizungumza na wanyabiashara walio amua...
Kelele na sifa inazopewa Kariakoo sidhani kama ni kweli ndiyo sehemu inayotoa kodi kubwa sana kama ukizingatia vigezo vyote.
Ninaiona Kariakoo kama walivyosema kama shamba la bibi kwa watumishi...
Siku watumishi wote wa TRA wakigeuka wazalendo wafia nchi, wakafuata sheria za kodi kama zilivyo bila kupinda kushoto au kulia na bila kupepesa macho, amini nawaambia sisi wafanyabiashara wengi...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu Mei 16, 2023 Mtumba jijini Dodoma, ameongoza kikao kati ya Wizara yake na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambayo...
Kurejeshwa Makalla ndani ya mfumo mwaka 2021 na kuwa RC Dar es Salaam tukubali ama tukatae ipo nguvu ya ushawishi wa JK ilitumika kumshawishi Rais Samia.
Ieleweke, Makalla ni swahiba na mwandani...
Mgogoro wa wafanyabiashara Kariakoo unatokana kwa kiasi flani na mazoea ya viongozi wetu kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani. Tangu lini tamko la kiongozi jukwaani likawa sheria?
Jambo kubwa...
Misiba na kunji la wafanyabiashara kariakoo limepooza ile jamba jamba iliyoletwa na NEMC wiki iliyopita. Kama ilivyoada na desturi sie great thinkers lazima tupate muda wa kudurusu zilizo kick na...
MBUNGE OLIVER SEMGURUKA AIOMBA SERIKALI KUKAMILISHA HUDUMA ZOTE ZA AFYA MKOA WA KAGERA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera Mhe. Oliver Semguruka amechangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya...
Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma.
Ndege hiyo...
Nimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais.
Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA.
Na hata wakiupata...