Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeamua kuandika hii post huku nikijua kwamba John John Mnyika hakumaliza masomo yake pale UDSM na bila shaka alibakiza miezi michache tu kumaliza chuo hii imesababishwa na hamu yake kuona...
9 Reactions
55 Replies
5K Views
Kupitia katika ukurasa maalum Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania amekiri kuwa mradi wa kuchakata Gesi asili ni game changer utakaoleta mabadiliko kwa wakazi mikoa ya Kusini pamoja na nchi...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Tumekusikia ndugu Shaka Hamdu Shaka ukilalamika kuhusu Ubaguzi , na kwenye Ubaguzi huo umewataja Chadema . Sasa kwa vile wewe kiasili ni Mzanzibar basi bila shaka unalifahamu tukio hili...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari gani ndugu wananchi? Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar. Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa...
11 Reactions
103 Replies
5K Views
Kwa uratibu wa CCM mgombea Urais wa JMT hupitia mchakati mkali na kikao kikubwa kabisa ni kile cha Usalama na Maadili Nakumbuka 2015 wengi walikatwa na wengine walifukuzwa kabisa chamani kwa...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Mfano leo Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 na England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 wameimba nyimbo zao za Taifa japo wapo kwenye muungano wa 'United Kingdom🇬🇧'. Mapendekezo yangu hapa nyumbani Tanzania 🇹🇿 tufanye hivo pia kwa...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Simiyu limewakamata watu 9 waliohusika kutungua helkopta ya kampuni ya Mwiba na kumuua rubani wa helkopta hiyo Rogers Gower. Baada ya kuuawa kwa rubani Rogers Gower, familia yake...
3 Reactions
79 Replies
21K Views
Nimesikia hizi tetesi sana leo ni siku ya 3, na nishaambiwa na watu muhimu sana na ambao ni wa uhakika. Inadaiwa kuna waziri (sitamtaja mwamjua) amepewa mamilioni na makampuni mawili makubwa ya...
14 Reactions
57 Replies
4K Views
Wadau Naomba kujuzwa juu ya Kile KIKOSI KAZI kulichoundwa na MSAJILI wa VYAMA vya SIASA na Kutoa MAPENDEKEZO yake kwa SERIKALI na SERIKALI kuahidi kuanza kuyafanyia kazi .Imebidi niulize kutokana...
0 Reactions
4 Replies
582 Views
Salaam wakuu, Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa...
19 Reactions
201 Replies
18K Views
Ndugu zangu, ukifuata akili za CHADEMA na wana CHADEMA na viongozi wao lazima upotee, upoteze dira, muelekeo na kuchanganyikiwa. CHADEMA ni chama kisicho na msimamo, dira aala muelekeo, hakina...
-1 Reactions
31 Replies
2K Views
Siku sikia kabisa wakati wa awamu ya Mkapa mwalimu Nyerere akipinga hata mara moja mikutano ya hadhara. Sasa inashangaza miaka hii bado kuna watu wanaogopa upinzani kiasi cha kuwatumia polisi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna wakati inashindikana kumtambua Rsis wetu anasimamia kitu gani. Analinda haki au yupo kwaajili ya kulinda na kunawirisha uovu. Kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe iliweka wazi uovu wa baadhi ya...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Nape Nnauye: Mimi ni katika wale wanaopiga debe wazi kabisa bila aibu, kwamba mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030, tuna hakika akifika huko atakuwa ametufanyia...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Kuga Peter Mziray aliyekuwa mgombea urais mwaka 2010 kupitia tiketi ya APPT-maendeleo amefikwa na mauti alasiri leo katika hospitali ya Rabininsia Tegeta na sasa mwili wake umehifadhiwa Muhimbili...
6 Reactions
67 Replies
16K Views
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana amewataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani Hii itasaidia wananchi kuelewa ujumbe wanaopewa nyakati za kuielezea Ilani ya CCM na utekelezaji wake...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Jana wanangu wamerudi nyumbani na ki skuli bus saa 12 jioni badala ya saa 9, njaa kali, wamechokaaa. Kisa bibi yao Samia. Ubungo Maji, Mlimani City, Mwenge, Lugalo, Makongo, Survey, Sinza, Mbezi...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Kote duniani mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya siasa hufanyika tu miezi michache kuelekea uchaguzi mkuu. Hata huko Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA ndivyo mambo yanavyokuwaga. Baada ya...
4 Reactions
79 Replies
5K Views
Bila kupoteza mda niende kwenye mada. Aiseee katika harakati za kutafuta mkate wa watoto nimefanikiwa kupita sehemu nyingi za Tanganyika na nimekuwa nikiona watu wengi wakitoa maduku duku yao...
2 Reactions
4 Replies
518 Views
Mbunge machachari na Mwenye Ushawishi mkubwa kwenye Bunge la Ulaya , Mh David McAllister , amekutana na Viongozi wa Chadema Jijini Brussels Ubelgiji , na kufanya nao mazungumzo . Viongozi wa...
1 Reactions
12 Replies
880 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…