Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 4,953
- 4,326
Kote duniani mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya siasa hufanyika tu miezi michache kuelekea uchaguzi mkuu. Hata huko Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA ndivyo mambo yanavyokuwaga. Baada ya hapo the winner takes it all na upinzani huhamia bungeni.
Ndiyo maana ya demokrasia: the majority (washindi) rules and the minority (wapinzani) are allowed to talk in parliament and may be listened. Ukiona wananchi wanaandamana kipindi ambacho si cha uchaguzi, ujue ni kwa ajili ya kudai vitu kama kupunguziwa bei ya chakula ambacho kwao ni mkate lakini kwetu ni mchele, sembe na maharage. Au kuongezewa mshahara, kupunguziwa bei ya umeme, maji, dawa, usafiri etc
Sasa sisi ni nani kutaka kufanya mikutano ya hadhara na maandamano ya kisiasa anytime every time? Tunataka the minority and the loosens of the election to be our rulers!!