David McAllister akutana na Viongozi wa CHADEMA na kufanya nao Mazungumzo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Mbunge machachari na Mwenye Ushawishi mkubwa kwenye Bunge la Ulaya , Mh David McAllister , amekutana na Viongozi wa Chadema Jijini Brussels Ubelgiji , na kufanya nao mazungumzo .

Viongozi wa Chadema bado wako kwenye ziara ndefu ya kikazi barani Ulaya , ambako wanatumia ziara hiyo kukutana na Wakuu kadhaa wa Taasisi za Kimataifa na kufanya nao Mazungumzo .

McAllister anafahamika kwa kupinga Udikteta wa awamu ya 5 ulioletwa nchini Tanzania na kiongozi muoga , na anajulikana pia kwa kuweka msimamo wa Kupinga kesi ya Uongo ya Ugaidi iliyomkabili Mbowe na wenzake watatu.

FB_IMG_1670078433728.jpg
 
Chadema bhana 😂
Ety sasa hv Lissu ni mjumbe wa chadema huko Ubelgiji
 
q
Mbunge machachari na Mwenye Ushawishi mkubwa kwenye Bunge la Ulaya , Mh David McAllister , amekutana na Viongozi wa Chadema Jijini Brussels Ubelgiji , na kufanya nao mazungumzo .

Viongozi wa Chadema bado wako kwenye ziara ndefu ya kikazi barani Ulaya , ambako wanatumia ziara hiyo kukutana na Wakuu kadhaa wa Taasisi za Kimataifa na kufanya nao Mazungumzo .

McAllister anafahamika kwa kupinga Udikteta wa awamu ya 5 ulioletwa nchini Tanzania na kiongozi muoga , na anajulikana pia kwa kuweka msimamo wa Kupinga kesi ya Uongo ya Ugaidi iliyomkabili Mbowe na wenzake watatu.

View attachment 2434637
maccm na wafuas wao yanajambajamba huko yaliko.
 
Mawakala wa mabeberu wako kwenye harakati ya kulirudisha rasmi koroni lao la Tanganyika na Zanzibar. Washindwe na walegee kwa jina la deshi deshi!
 
Back
Top Bottom