Nape Nnauye: Mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,445
7,810
Nape Nnauye: Mimi ni katika wale wanaopiga debe wazi kabisa bila aibu, kwamba mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030, tuna hakika akifika huko atakuwa ametufanyia kazi nzuri kwa mujibu wa katiba yetu atakuwa ndio wakati wa kupumzika.
 
Hakika naunga mkono na kumuunga mkono mh Waziri Nape kwa kauli take, Rais Samia Anastahili kupewa miaka mitano mingine ya kututumikia watanzania maana utumishi wake umekuwa ni wakutukuka na wakizalendo Sana kwetu watanzania.
 
Kumezuka KUNDI la Watu ndani ya CCM wanapaza Sauti zao huku wakijua kabisa kuwa Muhula wa URAIS kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo ni kila baada ya MIAKA 5 kunafanyika UCHAGUZI.

Juzi Mbunge wa Jimbo la MTAMA na Waziri wa Habari Bw.NAPE alisikika Anasema MAMA AONGEZEWE MUDA MPAKA 2030.

Najiuliza sasa 2022 na Uchaguzi ni 2025 kwanini Waziri NAPE aseme AONGEZEWE mpaka 2030 Wakati hata Hajamaliza kipindi cha kuelekea 2025? Pia hata UCHAGUZI wa 2025 Haujafanyika kwanini Aseme 2030?

Watanzania hebu TUACHE UCHAWA ni Aibu kwa Kiongozi kuwa na Tabia za UCHAWA Tuache KUJIPENDEKEZA kwa SIFA zisizo na TIJA kwa TAIFA Muacheni MAMA amalize Muda wake mpaka 2025 na Kama AKIGOMBEA na Akashinda basi itakuwa mpaka 2030 kama KATIBA inavyotaka. UCHAWA ni AIBU

eastafricatv_167006572521035.jpg
 
Ni Haki yake, kusema anachotaka kusema

Ila ni wajibu wake kufanya kazi tunayomlipa sisi wananchi, na mfano hili la vingamuzi vya Free to Air kuchaji watu pesa wakati wa Kombe la dunia wakati hizi ni Channel za Bure?
 
Nape Nnauye: Mimi ni katika wale wanaopiga debe wazi kabisa bila aibu, kwamba mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030, tuna hakika akifika huko atakuwa ametufanyia kazi nzuri kwa mujibu wa katiba yetu atakuwa ndio wakati wa kupumzika

Nape Nnauye
Duh...!.
P
 
Kumezuka KUNDI la Watu ndani ya CCM wanapaza Sauti zao huku wakijua kabisa kuwa Muhula wa URAIS kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo ni kila baada ya MIAKA 5 kunafanyika UCHAGUZI.
Juzi Mbunge wa Jimbo la MTAMA na Waziri wa Habari Bw.NAPE alisikika Anasema MAMA AONGEZEWE MUDA MPAKA 2030.
Najiuliza sasa 2022 na Uchaguzi ni 2025 kwanini Waziri NAPE aseme AONGEZEWE mpaka 2030 Wakati hata Hajamaliza kipindi cha kuelekea 2025?Pia hata UCHAGUZI wa 2025 Haujafanyika kwanini Aseme 2030?
Watanzania hebu TUACHE UCHAWA ni Aibu kwa Kiongozi kuwa na Tabia za UCHAWA Tuache KUJIPENDEKEZA kwa SIFA zisizo na TIJA kwa TAIFA Muacheni MAMA amalize Muda wake mpaka 2025 na Kama AKIGOMBEA na Akashinda basi itakuwa mpaka 2030 kama KATIBA inavyotaka. UCHAWA ni AIBUView attachment 2434443
Machawa katika ubora wao!
 
Back
Top Bottom