Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari JF, Nionavyo mimi huyu mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala. Mlio karibu na Lissu mshaurini...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mbowe na wenzake wote wanaolamba asali wanazunguka Tanzania nzima kuandaa mazingira ya kurudi bungeni. Lakini hii wewe umeishutukia maana 2025 chochote kinaweza kutokea. Wananchi ndio tutaamua...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 30 leo Mei 22, 2023. Hotuba ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa, akiwasilisha Bungeni mpango na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibu mkoani Morogoro Karibu katika mkoa wa kilimo. Tunakuomba utuombee kwa jamii ya wafugaji watuachie tuondoe kidogo tulichopata shambani na baada ya hapo wachunge watakavyo. Kwa mfumo wetu...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 21...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
IGUNGA: "TUMEAMUA KUACHANA NA VIKAO VYA CHINI YA MITI NA KWENYE STOO ZA PAMBA". Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameendelea na Ziara ya Kikazi Jimboni, Ziara inayoambatana na...
1 Reactions
1 Replies
541 Views
Bernard Kamilius Membe Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, Mwanachama wa chama cha Mapinduzi, na mhudumu wa hadhi ya juu wa Idara ya Usalama wa taifa na "nusu" padre ambae...
35 Reactions
113 Replies
9K Views
Jumamosi, tarehe 20 Mei 2023 Tanzania, imeandika historia nyingine kubwa katika Bara la Afrika na duniani. Ni kwa kuzindua Ikulu mpya katika Makao makuu ya nchi, Dodoma. Ikulu mpya ya Chamwino...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
TRA ilianzishwa Kipindi Cha awamu ya tatu ,Chini ya Jemadari,Rais Mstaafu Marehemu Ben Mkapa!! Je awamu ya kwanza na ya pili ni taasisi gani ilihusika Moja kwa Moja na ukusanyaji wa mapato ya...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi, Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Walinda legacy bado wapo katika msiba, wanatukana kila kiongozi wa nchi hii aliyepita. Hawana staha hata kwa baba wa Taifa, wanasema eti hata yeye hajafanya kitu isipokuwa ni Magufuli tu ndo...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Hovyo kabisa! Tuna viongozi wazembe na wasio na uwezo hata kidogo wa kuibua kuanzisha miradi na kuisimamia ili wapewe heshima zao, badala yake wanataka kulazimisha kupewa heshima zisizo zao...
8 Reactions
69 Replies
4K Views
Hakuna ubishi wametumia vyema kodi za watanzania kujenga jengo hili. Hakuna ubishi
0 Reactions
7 Replies
578 Views
Mngejua nguvu na mama oneni alivyomtoa Kalemani na Chamuriho na sukumagang wengine Mnaona alivyowatoa fasta sukuma Gang wote?Tena chaap kwa haraka bila hata kujitetea Wengine walikua na makosa...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kinachowasaidia sana ccm kubaki madarakani ni wapinzani na watanzania kusahau matukio mazito kwa mda mfupi. Tena wana mbinu sana hawa watu, walipoona swala Alphonce Mawazo limepamba moto wakaamua...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
MBUNGE DKT. ALFRED KIMEA ASISITIZA MATUMIZI YA LUGHA YA KINGEREZA KWENYE MTAALA WA ELIMU TANZANIA YASIPUUZWE Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea tarehe 16 Mei, 2023 amechangia...
1 Reactions
0 Replies
755 Views
Utanzania kwanza 🇹🇿 1. Hamuwezi Kushika Dola kwa kudharau vyama vingine vyenye Nia. Wanyonge huungana kumkabili mwenye nguvu, msiendeshe siasa ya Tanzania kwa kufananisha na Republican na...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo imeadhimisha kilele cha Siku ya Uanuai wa Utamaduni katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambayo huadhimishwa duniani kote tarehe 21 Mei kila mwaka. Akizungumza...
1 Reactions
0 Replies
314 Views
Nimeridhika na Maelezo ya Chadema kwamba wanatoa Elimu ya Katiba Mpya jinsi itakavyowakwamua Watanzania waliozungukwa na Ufukara Kwamba wamejibobeza kwenye Maendeleo ya WATU siyo Vitu Mungu...
2 Reactions
3 Replies
474 Views
KAMA ilivyozoeleka kwa baadhi ya wafanyabiashara, huwa wanapandisha bei ya bidhaa mara tu wanaposikia serikali imeongeza msha-hara na marupurupu kwa wafanyakazi kila mwaka. Uviziaji huo hufanyika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…