Mzee Mtei ni mtu mzuri sana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
63,899
96,602
Nakumbuka wakati nachukua kadi ya Chadema 1992 nikiwa na Makamanda wenzangu mzee Mtei alisema Chadema ni chama ambacho hakitachoka

Mzee Mtei akasisitiza kuwa muda utafika vyama vyote vitakuwa vimechoka kiitikadi na Wananchi Katika ujumla wao watatukabidhi Dola

Huwa nayakumbuka sana maneno haya ya mwenyekiti mstaafu wa Chadema

Jumaa kareem!
 

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
766
846
Nakumbuka wakati nachukua kadi ya Chadema 1992 nikiwa na Makamanda wenzangu mzee Mtei alisema Chadema ni chama ambacho hakitachoka...
Kipo wapi sahivi? Nchi hii chama ni kimoja tu CCM, vingine vyote havina itikadi ya kujenga nchi. Km CHADEMA itikadi ni ukabila na ukanda haitakubalika imeshachoka.
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom