Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu...
1 Reactions
9 Replies
688 Views
Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana! Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Hizi ni hofu au ndio protocal mpya? Tulishuhudia awamu ya mwendazake msafara wake ukiwa na Anti-ballistic missile sasa awamu hii naona Mama anazunguka na kiti chake haamini viti vya ugenini?
15 Reactions
104 Replies
10K Views
Wenje aunguruma Sengerema Sengerema. Mbunge wa zamani wa Nyamagana (Chadema), Ezekiel Wenje amesema Serikali imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kuwaacha wananchi wa Tanzania walikia na...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
MHE. JACQUELINE KAINJA ACHANGIA MILIONI 3.6 UWT MKOA WA TABORA, AZINDUA JUKWAA LA WANAWAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja amechangia Jumuiya ya Umoja wa Wanawake...
1 Reactions
0 Replies
730 Views
Nimesoma, na nimeisikiliza kwa umakini hotuba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na teknolojia, sijasikia wala sijaona kipengele kilichozungumzia kinagaubaga maaendeleo ya sayansi na teknolojia nchini na...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Ujumbe Mahususi wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma,Ndugu Ngozi kwa wenye akili unapaswa kubebwa kwa uzito mkubwa!Ujumbe huu unakuja baada...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Siku zote tumesema na kurudia tena na tena, kwamba Wazee ni Hazina, hakuna jambo linaloweza kufanikiwa bila kuchota Busara na Ushauri wa Wazee. Baada ya kukutana na Mbowe , Wazee wa Katavi...
4 Reactions
10 Replies
962 Views
Hapa ndipo waandishi wa habari za uchunguzi wanatakiwa kuingia "chimbo". Wakawasake hao wafanyabiashara wa nchi jirani wawahoji. Lakini, kinachoonekana wafanyabiashara wa kariakoo ndio wameiua...
9 Reactions
29 Replies
6K Views
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto...
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Someni kifungu cha 57(1) cha sheriya ya mazingira. Mbowe alivunja sheria nchi wala hakuonewa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu. Ndugu yetu mh Lisu baada ya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Uchambuzi wa Bajeti ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2023/24. Utangulizi. Katika mwendelezo wa uwasilishaji, mijadala na upitishwaji wa bajeti Bungeni, Jana tarehe 22 Mei 2024, Prof...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Dunia nzima kwa sasa hakuna serikali inayo weza kutawala nchi bila ushirikiano na wapinzani labda iwe ya kidikteta halisi au kidikteta uchwara. Nchi nyingi zinatumia mfumo wa serikali za mseto...
3 Reactions
7 Replies
984 Views
Akizungumza kutoka katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), #RaisSamia amesema ongezeko la 23% la Mshahara lililofanyika mwaka 2022 halikuwagusa Wafanyakazi wote akiwemo yeye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TRA kamatieni hapo hapo,hao watu sio wa kucheka nao wote tunaishi mtaani ukidai risiti wanakuzungisha mara wasema network inazingua na blaa blaa kama hizo.. Mara kadhaa nimewahi kuwaambia Tumieni...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Siku zote kwenye hii mikutano ya CHADEMA kunakuwa na vijimambo vizuri sana nyuma ya Pazia , hebu fuatilia kisa hiki Mtoto alipewa kuku na Mama yake ili amfuge, mtoto akaendelea kufuga kuku wake...
3 Reactions
4 Replies
632 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 31 leo Mei 23, 2023. Wabadhirifu wa Dawa na Bidhaa za Afya Kushughulikia Serikali imesema inachukua hatua mbalimbali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
First Tanzanian gets Certificate of Origin to trade under AfCFTA First Tanzanian gets Certificate of Origin to trade under AfCFTA The first Tanzanian received a certificate of origin yesterday to...
1 Reactions
0 Replies
671 Views
Na Mwl Udadis, Mtwara Makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na kampuni za Equinor & Shell yamekamilika kwaajili ya uwekezaji katika mradi wa gesi asilia, mradi wenye thamani ya Dola Bilioni...
2 Reactions
7 Replies
889 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…