Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo naomba niwaambie CCM kuwa kwa muda sasa, wamekuwa wakipata misukosuko inayotishia uhai wa CCM na CCM kuendelea kubaki madarakani huku wao wakiwa hawaelewi. Wasichokijua CCM nii kuwa...
2 Reactions
4 Replies
871 Views
The Roman Empire bado inatawala dunia. Wao kwa gharama yoyote ile watamuweka Rais madarakani.
4 Reactions
79 Replies
13K Views
Kichwa cha thread kinajieleza kinaga ubaga Hapo Kenya Mawasiliano Yote ya kisiasa yanafanyika Jumapili ibadani Kanisani Iran na Ayatolah Putin na Orthodox Nk nk Mlale unono πŸ˜€πŸ˜€
0 Reactions
2 Replies
413 Views
1. Ifanyike contract review: ongeza muda zaidi wa majadiliano au fungua majadiliano mapya na DPW na hili jambo liweke public isiwe siri mwisho wa siku wewe ndio hero au looser. Yaani iwe MAMA...
16 Reactions
66 Replies
4K Views
Mama alizoea wazanzibar wenzake ambao ni wakalimu na wastaarabu sana kulingana na Imani Yao kuwa strong na inayomwagopa mungu sana. Kwa kawaida muslimuls love God by heart contrary to christians...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeshauri kuondolewa kinga ya kushtakiwa kwa viongozi wa Serikali ili kutoa haki sawa kwa Watanzania wote chini ya Katiba na matakwa ya Mwenyezi Mungu...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu. "....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu...
46 Reactions
178 Replies
16K Views
Vyanzo ndani ya Kanisa Katoliki vinatabanaisha kutakuwa na kikao rasmi cha Baraza la Maaskofu huku pamoja na mengine litajadili SINTOFAHAMU kubwa inayolikumba Taifa kwa sasa kuhusu suala la...
31 Reactions
250 Replies
13K Views
Naam wanabidi, Kama mada inavyo jieleza, UKISIKIA NDANI ntiti nje ntiti ndio hii sasa. Leo makanisa ya Wakatoliki yatajaa Nia na madhumuni ni kusomewa waraka wa Maaskofu kuhusu Mkataba wa bandari...
14 Reactions
41 Replies
4K Views
Uongozi wa ACT wazalendo enzi za Mwigsmba ulibalance yaani Akina Kitila, Akina Mghwira rip, Zitto, Mchange nk Baada ya kuhamia Pemba kimekuwa hakina Wagalatia kabisa Membe rip alijaribu Lakini...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Baada ya mapumziko mafupi Chadema kuendeleza 255 Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu kanda ya Serengeti Tarehe 25/8/2023 watakuwa Shinyanga Mjini kwa mh Patrobas Katambi Mlale unono πŸ˜€πŸ˜€
1 Reactions
4 Replies
657 Views
Mbunge Anna Lupembe pamoja na mbunge wa Arusha Mjini mh Gambo wamewasilisha Barua ya mwaliko kwa Nabii Mkuu Geodevie kutoka Ofisi ya Bunge Baada ya kukabidhiwa Nabii Mkuu Geodevie amewaambia Huo...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Gazeti la Jamvi la Habari Habibu Mchange na waandishi wa habari wapatao sita wamevamiwa na kundi la Vijana wa kimasai na kujeruhiwa vibaya walipokuwa wakifanya mahojiano na wananchi...
5 Reactions
83 Replies
10K Views
Mwaka 2014 Jukwa la TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na La Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona ccm imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Katibu wa Balaza/ Baraza la Maaskofu Wakatoliki Tanzania amesema kupitia viongozi wasiowaaminifu wamewafanya wananchi wa Loliondo waishi maisha magumu kama wakimbizi ndani ya nchi yao, jambo...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Tumeanza kwa makusudi kufifisha "Agenda" muhimu zinazolitaka taifa kuwa na mwelekeo sahihi hasa kwa kuitaka serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli kujisahihisha juu ya matukio...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Askofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana...
19 Reactions
63 Replies
7K Views
Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi...
14 Reactions
274 Replies
15K Views
Hata kama wapinga mkataba wa DP World wangekuwa ndio wamepotea na hawako sahihi tukubali tu kwamba bandari imetugawanya sana, umoja na utangamano wetu umetiwa doa kubwa na DP World na Waarabu wa...
2 Reactions
11 Replies
732 Views
Niende moja kwa moja. Toka nianze kufuatilia siasa niwe mkweli wewe ni rubani wa kwanza kuwa na wakati mgumu zaidi hasa katika kipindi hiki cha utandawazi. Najiuliza Nini kimekupata? Mbona abiria...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…