Baada ya mapumziko mafupi Chadema kuendeleza 255 Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu kanda ya Serengeti 25/08/2023!

Baada ya mapumziko mafupi Chadema kuendeleza 255 Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu kanda ya Serengeti

Tarehe 25/8/2023 watakuwa Shinyanga Mjini kwa mh Patrobas Katambi

Mlale unono 😀😀
huko vipi kuna bandari?
 
Watamtampisha nyongo Sa100 hawa watu.. eti huku TEC, kati CDM, kushoto Mwambukusi, kulia Dr. Slaa, kusini Watanganyika na Kaskazini Diaspora
 
Back
Top Bottom