Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Upatikanaji wa katiba mpya ni utaratibu wa kisheria, na mchakato mzima ni lazima uwe wa kisheria. Process nzima, kuanzia vikao mpaka ushirikishwaji ni lazima viwe vya kisheria. Vikao vya mchakato...
13 Reactions
38 Replies
2K Views
Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzalendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo...
3 Reactions
98 Replies
4K Views
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa msimamo wake kuhusu masuala ya uraia pacha nchini baada ya hivi karibuni kuwa na mijadala mbalimbali ya uraia pacha. Akijibu swali la...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mnapojibu kwa kusema kazi iendelee basi kweli mnapeperusha bendera ya Tanzania kwenye jua kali katika msimu huu wa kiangazi. Kwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kitu kimoja ninachompendea Tundu Lissu ni kuwa Mtu wa msimamo Thabiti kama Nabii Danieli. Kwake black is black and white can never be red. Huyu bwana yuko very persistent, determined and self...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Ni majuzi tu kwa mara ya pili mfululizo rais wetu amefanya mabadiliko ya uongozi wa mikoa 3 na wilaya moja. sikufurahishwa kuondolewa kwa meja jenerali Mzee kisa tu anasimamia sheria. Vile vigingi...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema ni aibu Kumsumbua Waziri Mkuu kuja kutatua Changamoto wakati yeye Mkuu wa Mkoa Yupo. Chalamila ameahidi kwamba Hilo halitajitokeza tena ===== Mkuu...
9 Reactions
53 Replies
7K Views
Akiwa Iringa Katibu mkuu wa CCM komredi Chongollo ameigiza Tarura kuanza Ujenzi wa barabara inayokwenda Dispensary ndani ya saa 24, Injinia ametii na kazi imeanza Huko Tabora Mbowe amesema...
4 Reactions
8 Replies
588 Views
Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho. Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa...
2 Reactions
15 Replies
969 Views
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi (VETA) cha kwanza kitakachojengwa Wilaya ya Rorya...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Mama Samia miaka 9 tena. Sasa hivi tutalipa tulichokopa tu bodi ya mkopo. Hongera mama. ===== SERIKALI imefuta tozo ya asilimia 6 ya thamani ya deni la wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya...
26 Reactions
217 Replies
28K Views
Naona Rais wenu yuko busy na matamasha hadi ya Rais kuapisha masekretary, Sijui ipo kisheria au ni kupuyanga tu ili TV ziwe busy na Rais aonekane yupo na busy na shugli za kiserikali. Ninavyojua...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Na Elia F Michael. Baada ya kile kinachoitwa Great Economic Depression cha mwaka 1929-33 kuipiga Marekani na Ulaya alitokea Rais pale Marekani wa 32 aliyekuwa anaitwa Franklin Delano Roosevelt...
21 Reactions
110 Replies
13K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake. Jionee mwenyewe
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango...
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Legacy sio swala rahisi rahisi sana kama tunavyo aminishana humu, Legacy inatakiwa kuishi miaka 100+ hizi ndio legacy zenyewe. Hadi sasa bado Nyerere ndio ana legacy inayo ishi, na kubwa sana...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Mara zote tumeandika humu na kurudia tena na tena kwamba Cheo cha Mkuu wa Wilaya kiondolewe , hii ni kwa sababu DC hana kazi ya kufanya kwenye Wilaya. Kazi kubwa za Mkuu wa Wilaya ni kusimamia...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Si aibu kusema kuwa watanzania tuko vulnerable linapokuja suala la ufisadi barani Afrika hasa kwa experience tunayopata awamu zote tunazopitia. Tunavyoenda ni ukweli ulio wazi kuwa hiki kipindi...
3 Reactions
3 Replies
760 Views
Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…