Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wawili, leo Desemba 14, 2022

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:

Amemteua Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Abdallah alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara (Uwekezaji).

Amemteua Bw. Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mmuya alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu).

Uteuzi huu ni kuanzia tarehe 09 Desemba, 2022.

8AE46F85-D085-414C-B26D-9C92EF7F3F21.jpeg
 
UTEUZI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara (Uwekezaji)

Pia amemteua Bw. Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

Uteuzi huu ni kuanzia tarehe 09 Desemba, 2022
 
Hivi front letter ya Ikulu hibadilika badilika kulingana na ukubwa wa tangazo?
 
Du our no 1 katiba inampa mamlaka ya kuteua watumishi wote wa serikali!,Urais wangu wa 24hrs, within 3hrs nitamfanya no 1 awe na mamlaka ya kuteua cabinet tu,the rest waombe kama watumishi wengine
 
Siyo kweli hapo kwenye kuteua watumishi wote wa serikali, wengine wanaaply na kupitia michakato ya usaili katika secretarieti ya ajira katika utumishi wa umma
 
UTEUZI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara (Uwekezaji)

Pia amemteua Bw. Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

Uteuzi huu ni kuanzia tarehe 09 Desemba, 2022
Unarudia nn sasa na wakati juu ishawekwa hapo
 
Siyo kweli hapo kwenye kuteua watumishi wote wa serikali, wengine wanaaply na kupitia michakato ya usaili katika secretarieti ya ajira katika utumishi wa umma
Una asili ya ubishi na jitahidi kunisoma to understood, Nina maana all senior CEOs kama cdf, igp, tiss director, judge's, naona nimekutafunia sasa unaweza nielewa
 
Hizi kazi za utendaji mkuu wa wizara zilitakiwa kuwa za kutuma maombi na kufanyiwa usahili.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:

Amemteua Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Abdallah alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara (Uwekezaji).

Amemteua Bw. Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mmuya alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu).

Uteuzi huu ni kuanzia tarehe 09 Desemba, 2022.

View attachment 2446104
Kwenye ueteuzi ndio kazi anayo fanya vyema, njoo kwenye uchumi sasa ni zero, ila teuzi yuko vyema sana
 
Back
Top Bottom