Shura ya Maimamu yajaa na sababu nzito za kuwa Tume ya Jaji Chande imejengwa nje ya misingi.
Na Shura ya Maimamu imetoa waraka mzito wa kurasa 12 wenye mapendekezo manne. La kwanza ni rais aitoe...
Wakuu,
Rais alishatuchamba tume ni yake, na ripoti ni yake, na sisi wala hatuna hiyana tumemwachia ripoti yake, maana haituhusu wananchi, ameshakabidhiwa, sasa Chande anakuja kujieleza kwetu ili...
Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo.
Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata...
Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania.
Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi...
Wakuu,
Jana, Rais Samia amefanya mabadiliko na teuzi mbalimbali, na moja ya teuzi zilizovuta hisia za wadau wengi ni ile ya Dkt. Evaline Munisi kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi...
Guys guys
Wakati samia aliongea kwa jaziba, Muhemko na chuki huku akihamasisha uonevu juu ya raia.
Ruto kajibu kwa akili kubwa kwamba hao GenZ wala siyo tatizo. The big challenge ni "umaskini...
Tume ilipata ushahidi mkubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida ambao walikuwa karibu na matukio. Walifichua kwa uwazi matukio ya kabla, wakati na baada ya uchaguzi na kutoa picha halisi ya...
Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, (Maarufu tume ya Jaji Chande) inatarajiwa kuwasilisha...
Yaani eti Samia ndiye anataka kumshauri Rutto aanze kuwateka Gen Z bila kujua wenyewe ndiyo kizazi kijacho. Wenzetu wana katiba nzuri, bunge na mahakama ambazo sio za machawa.
utamaduni gani wa...
Watu ambao hukabiliwa na msongo wa mawazo na wanaohofia au kujua jambo baya linalokaribia kuwakuta kwa kawaida ni waongeaji sana, wabwatukaji sana. Hata kama unauguza mgonjwa, siku ukiona anaongea...
Moja ya hoja iliyoibuliwa na CHADEMA wakichambua ripoti ya Tume haramu ya Othman Chande na wazee wenzake walioamua kuuza utu wao kwa kuamua kuwa "wazee wa kutunga uongo" ni suala la wao kujigeuza...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki akiwasilisha taarifa ya sekta hiyo bungeni leo Aprili 30, 2026, amebainisha kuwa sekta hiyo imeendelea kupanuka kwa kasi, huku...
Nadhani wote mmemsikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu Mahakamani alipokuwa anamtetea Mwenyekiti wa Chama chake aliyesingiziwa kesi ya Uongo ya Uhaini ili CCM ipite bila kupingwa.
Kumbe Mwanzilishi...
Mojawapo ya utopolo wa hali ya ujuu uliotamkwa wakati wa hotuba ya Samia kwenye ziara ya Ruto ni hili suala la kusema wanaharakati wachapwe, wakiwa Kenya au Tanzania.
Sasa wakati wasikilizaji...
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Baada ya ukimya wa siku kadhaa na madai pia waliotoa kutaka kutekwa! Sasa wale Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya akiongozwa na Billy Miya leo waimeibuka na jambo jipya la kusema Rais wa Tanzania...
"Utawala wa Trump ulikuwa sahihi kuanzisha mapitio ya uhusiano kati ya Marekani na Tanzania. Ukandamizaji unaoendelea dhidi ya Wakristo unapaswa kukabiliwa na hatua
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru dereva taksi Mousa Twaleb aliyekuwa akituhumiwa kuhusika na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu...
Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi..
Mwenye habari kamili atujuze.
======
UPDATES...