Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Mirambo Yusuph, amesema mambo yaliyoainishwa katika ripoti ya Tume ya Uchaguzi kuhusu matukio ya Oktoba 29 tayari...
Mwanaharakati wa Kenya, Hussein Khalidi amesema kuwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hawatishwi na kauli ya Rais wa Tanzania, Saia Suluhu Hassan ya kuwaonya Gen-Z wa Afrika Mashariki kuwa...
Kuna uwezekano wowote wa mtu asiyeamini mungu(atheist) anayefahamika kwa wazi kabisa kuwa kiongozi wa nchi au serikali Tanzania kwa katiba ya sasa au hata mpya?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliokula viapo vyao leo Mei 6, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa...
Maandamano ya baadhi ya Watanzania wanaoishi Uholanzi yameripotiwa kuanza muda huu nje ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mjini The Hague. Waandamanaji wamebeba mabango wakipinga kile...
Watanzania waishio nchini Afrika Kusini wamefanya maandamano makubwa mjini Johannesburg leo Novemba 5, 2025 wakipinga mauaji ya raia yaliyotokea nchini Tanzania kufuatia matukio ya kisiasa ya...
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha.
Anasema TLS vilevile inawajibu mkubwa si tu kwa...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Werema amemwambia mwandishi Balile kwamba wewe si muandishi wa habari za uchunguzi bali ni muhemea kodi ya pango.
Jaji Werema alijibu hivyo baada ya mwandishi...
Kufikishwa ICC Kwa Samia Suluhu na Genge lake kunaenda kutupatia Katiba Mpya na Tume Mpya huru ya Uchaguzi yenye Reforms za kutosha.
Taarifa za Uhakika kabisa ni kua, SAMIA na Genge lake...
Kwa nini kama kweli, Mungu analaani WATUMISHI wasio timiza wajibu, wao iweje amwache aliyeua watu 518 kisa awe apo alipo atapewa Nini na Mungu?
JE kwa Nini anaishi mpaka Leo?
MAANA YA UZALENDO
1. Tafsiri Rahisi
- Upendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako
2. Mambo Makuu Ya Uzalendo
Kupenda nchi yako bila kujali serikali iliyopo
Kuweka maslahi ya Taifa mbele ya maslahi...
MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA
Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa...
NILICHOKISEMA CHANNEL 10 KUHUSU USHIRIKI WANGU KATIKA KATIBA, UCHAGUZI NA SASA PART 1
NILICHOKISEMA CHANNEL 10 KUHUSU USHIRIKI WANGU KATIKA KATIBA, UCHAGUZI NA SASA PART 2
Wakuu,
Tumefika lini kwenye Namba Q wakuu, kuna herufi nilikuwa naisubiria hapa kati, kwahiyo ndio basi tena?
Huyu mtu anaenda zake kufanya uhalifu, anakukonga anasepa, unatekwa umesukumiwa humo...
Leo hii Lijualikali ni DC, Wenje na Peter Msigwa hawana cheo chochote, hivi wanalala?
Daaaa! Wenjeee, daaaaa Peter Msigwa hata UJUMBE wa nyumba kumi hamna?😊🤣😵💫😁😁😄😃😀
Kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto, kuhutubia kwa lugha ya Kiingereza alipokuwa akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinafikirisha sana kuhusu mustakabali wa...