Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya hotuba ndefu nimenukuu haya machache kutoka kwa Prof Shivji juu ya nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba huu wa kinyonyaji wa DP- World. naandika kama anavyo sema:- "Kwa ujumla kwa...
51 Reactions
160 Replies
14K Views
Rais samia bado anayo nafasi ya kurudisha heshima yake ilyopetea ghafla. Hii kashfa ni mbaya kuwahi kutokea katika historia ya dunia hata kina chifu Mangungo hawakufanya hivi. Hivyo tunamuomba...
20 Reactions
116 Replies
7K Views
Hello mabibi na mabwana. Serikali imesisitiza kwama Mazao ya Wakulima ni Mali Yao na Waachwe Wauze Popote kwenye soko. Waziri wa Kilimo amesema kulikuwa na dhana kwamba mazao ya Mkulima ni Mali...
50 Reactions
401 Replies
16K Views
Serikali imeeleza kuwa imekamilisha usanifu wa Kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (One Stop Boarder Post- OSBP) Manyovu kilichopo mkoani Kigoma na ujenzi upo kwenye taratibu za awali za kumpata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya CCM kuitangazia dunia... Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu! Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu...
12 Reactions
55 Replies
5K Views
Uteuzi wa viongozi watano wakiwemo wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) uliofanywa jana na Rais Samia Suluhu Hassan, umewaibua wadau mbalimbali wa kia-siasa baadhi wakipongeza na wengine...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Miradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme- Nyerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Royal Tours, Bandari n.k...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema mkoa huo unajiandaa kuanza kutengeneza simu janja. Kunenge amesema hayo mjini Kibaha kwenye kikao maalumu cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya...
1 Reactions
5 Replies
977 Views
Habari zenu ndugu zanguni, Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu nielezee japo kwa uchache japo sio mbobevu sana wa haya mambo. Tangu kuibuka hii ishu ya DPW kumekuwa na mvutano mkubwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
WAZIRI AWESO - TUSIZOEE SHIDA ZA WANANCHI TWENDENI TUKAFANYE KAZI Waziri Wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ametoa wito kwa Bodi mbili zilizozinduliwa leo kusimamia utendaji na ufanisi katika kutekeleza...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Kuna watu, ama kwa kusukumwa na maslahi yao binafsi, uelewa mdogo, uduni wa weledi na dhamira mbaya, wanajitahidi sana kuuhadaa umma, kuufanya mkataba ule wa hovyo kabisa kati ya DP na Serikali...
15 Reactions
38 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameipongeza serikali kufuatia juhudi za kutatua changamoto za migogoro ya ardhi baada ya kufutwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ambayo ilizuia...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Ingekuwa Enzi za Hayati Mafufuli basi Baba levo na Steve Nyerere wangepata Teuzi aidha ndani ya Chama au Serikalini. Wameonesha uwezo na ujasiri kutete falsafa na maono ya mwenyekiti CCM Taifa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Najua hamtaniamini lakini kwa jinsi Mambo yanavyokwenda NAWAAPIA Suala la Kupata KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI litaanza Baada ya UCHAGUZI MKUU 2025 . Wenye AKILI KUBWA tulilijua Mapema...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye katiba? Nimekuwa nikitatizika sana na usafi wa mitaa yetu. Hakuna jitihada zozote zinazoongelewa kuhusu usafi wa mazingira yetu. Inasikitisha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hofu ni mambo yasionekana bali ni dhahania tu yanaweza kutokea au kutotokea Taifa haliwezi kukwepa uwekezaji kisa hofu,Hofu huwezi kuikimbia bali unaweza kupunguza hofu Hatuwezi kuwaogopa Dp...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Hongera Tanzania Kwa kukataa kuwa kibaraka Wala kuburuzwa,mama Tanzania Bado ana heshima. My Take Chadomo na Sukuma Gang Watapinga
0 Reactions
6 Replies
609 Views
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya...
3 Reactions
85 Replies
7K Views
  • Closed
Mbunge wa Igunga na Mweka hazina wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rostam Aziz, hatimaye amejibu rasmi madai mazito yaliyotolewa na Reginald Mengi kuhusu "mafisadi papa". Tamko hilo rasmi...
1 Reactions
1K Replies
162K Views
Kama yupo msaidizi wa namba moja anayejiuliza mara mbilimbili kumjulisha boss wake yanayojili mitandaoni, basi ni wa namba moja wetu. Na kama yupo kiongozi anayeipuuza mitandao ya kijamii kwa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…