Wachina wanamiminika kuja kufanya Biashara nchini kwa sababu tuna Mkataba wa Ushirikiano wa Nchi zetu
Kwa mfano Tanzania tuna Balozi Nigeria na Nigeria ina Balozi wake hapa nchini lakini ATCL...
Tuliopo ndani ya chama kwa miaka mingi sana hii ndio kanuni, Mwenyekiti wa CCM Taifa yaani Rais wa Tanzania kichama ana mamlaka kuu tatu ndani ya CCM
1.Yeye ndiye sheria
2.Yeye ndiye Taratibu...
DP world, Tanzania tumefurahishwa na ujio wenu kwani hata matajiri wakubwa Dar wana asili ya uarabu na uhindi,Tunategemea mji kubadilika na watu kuhama katikati ya mji kupisha majengo ya kisasa ya...
Vijana hakuna kitu cha bure kwenye maisha ,lazima ulipe gharama kwa unachokihitaji
Anayeandaa mtaala mpya wa elimu kwa vijana yeye mwenyewe hauamini mtaala kama unatekelezeka na wala hana uhakika...
Imefika wakati najiuliza, hivi angekuwa ndio Mama yangu anapigwa spana namna hii non- stop ningejisikiaje? Nimejikuta namuonea huruma tu huyu mama, maana anaweza kuwa mama yangu mzazi kabisa...
Baada ya kuona report ya CAG hakuna walichoingiza mfukoni au familia zao kubadilika sasa wanajadili bandari. Kelele za bandari nazo baada ya watu kuona hawaingizi chochote mfukoni sasa wanajadili...
Ushauri huu ni kwa vijana wasio na kazi lakini wamemaliza chuo na wapo chini ya miaka 35.
1. Tafuta shule ya kujifunza kigerumani Tanzania
2. Fanya mtihani wa lugha ya German
German inatoa viza...
Wanabodi wa jamii forums,
Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
Rais Samia aliwahi kusema katika moja ya Hotuba zake kuwa aliambiwa na mtu ndani kuwa nanukuu; 'Wakataokuangusha ni kijani wenzio wala sio wapinzani'.
Kumbuka haya maneno na ufikirie tena juu ya...
Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo.
Kwani, ni hawa hawa waliokuwa...
Jaji Kiongozi mstaafu, Amir Manento amependekeza Katiba iweke udhibiti kwa Rais asiwe na mamlaka ya kuteua majaji nje ya mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Mahakama. Manento alitoa mapendekezo...
Viongozi wanajibu kunya kunya tu kama nchi ya kwao yani, wanapuuza tu wananchi wanajiona keki kuliko wananchi mbaya zaidi asilimia tisini au zaidi ni wanaharamu watupu wananchi hawakuwachagua...
Naona kama Waarabu wanarudi kwenye himaya yao ya kibiashara waliyokuwa wameishikilia enzi na enzi kabla ya ujio wa utawala wa kizungu
Ninawaza sana maana naona mkakati wa kuirudisha pwani na bara...
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Rebecca Sanga aliitisha mkutano na kutangaza kuunda tume ndani ya siku 14 kuchunguza madai ya Mpina kupora mashamba ya wananchi Morogoro.
Swali langu ni moja tu siku...
Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma May 3, 2023, mchango huu...
Nilimsikia Padre Kitime , akiongelea suala la Bandari , alisema siku za nyuma Rais hayati Benjamin Mkapa alipotaka kubinafsisha shirika la ndege , kanisa lilimuita mbele ya baraza la maaskofu na...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewaita viongozi wa kisiasa na kijeshi wa Urusi kuwa ni majambazi na kufutilia mbali uwezekano wa mpango wa amani utakaovigeuza vita vya Ukraine kuwa mgogoro...
NI nadra kusikia jambo hili likizingumzwa na wanasiasa na hata viongozi wa serikali, lakini ni kweli kwamba miaka 1980, Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alipendekeza kuwe na Sera ya...