Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphey Polepole Agosti 2, 2023 baada ya kufika nchini Cuba kwa ajili...
1 Reactions
3 Replies
889 Views
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche.amesema Wameshaingia Chato na sasa wanafanya mkutano wao wa kwanza Heche amesema Watagonga Mikutano mingine minne na hawaogopi chochote wako...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
BASHUNGWA: JKT TUPO MSTARI WA MBELE KUWAPIKA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO "Maono na uwekezaji Mkubwa unaofanywa na serikali ya Awamu ya Sita (6) inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Imeelezwa kuwa Tanzania imesaini mikataba 19 ya uwekezaji wa nchi na nchi (BIT) hadi kufikia mwaka 2022, ambayo baadhi yake bado haijaridhiwa. Akizungumza leo Agosti 02, 2023 katika mjadala wa...
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Unakubali kuwa waziri? Ndio nakubali haya Mimi mwananchi ntamlipa Kodi ili ulipwe mishahara Sawa? Sawa asante Unakubali kuwa Mbunge?ndio nakubali!Sawa Mimi mwananchi ntalipa Kodi ulipwe...
2 Reactions
3 Replies
452 Views
Nimefuatilia kwenye Online TVs za YouTube mikutano ya CHADEMA leo J'tano ya kuimarisha chama chao waliyoipa jina la Operesheni +255 - Katiba mpya na Okoa bandari zetu.. Leo Freeman Mbowe...
15 Reactions
28 Replies
5K Views
By Bondpost, Africa imekuwa na watu wenye fikra tegemezi miaka yote hata hii move ya Waafrika kushabikia China, Russia na North Korea ni sehemu ya muendelezo wa fikra temegemzi. Africans...
1 Reactions
3 Replies
545 Views
Wakati Rais Samia anaanza Urais wanasiasa wengi akiwemo na Mama mwenyewe walianza nyimbo za kumtukuza na kumsifu Kikwete lakini wananchi hawakuhangaika nao. Sasa CHADEMA wako kanda ya ziwa...
6 Reactions
10 Replies
880 Views
Katika muendelezo wa kutoa elimu kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya , ikiwa ni pamoja na Kuelimisha kuhusu ubovu wa Mkataba wa Kitumwa wa Bandari na DP WORLD , Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Awamu ya Pili ya mpango kabambe wa kuwaamsha wananchi wa Tanzania kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, ambao sasa umeongezewa kipengele cha "Okoa Bandari Zetu," unaanza rasmi 28/07/2023...
19 Reactions
62 Replies
5K Views
Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo. Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka...
12 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari Watanzania, Hivi kweli nchi ya Tanzania, Mwigulu aliyeibuliwa na JK, baada ya sakata la Escrow, kijana wa kazi chafu kabisa kutokea huko UVCCM wkt huo...mkaona ndie awe mtunga sera namba...
38 Reactions
113 Replies
8K Views
Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika...
23 Reactions
136 Replies
11K Views
Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu.. 1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au 2. Kuwapuuza...
26 Reactions
83 Replies
12K Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, Wakili Peter Madeleka amesema watu wengi wanaomchukia hawamwambii ukweli Rais Samia zaidi wanaishia kumsifia hata anapokosea. Amesema Rais...
10 Reactions
40 Replies
7K Views
Benki ya Dunia imetoa ripoti inayoonesha Bandari ya Dar ndio inaongoza Kwa Ufanisi katika kuhudumia wateja ikiwemo kuondoa makasha Kwa haraka na kutokuwepo Kwa urasimu.. Taarifa ya WB inasema...
4 Reactions
83 Replies
8K Views
Mtunzi wa vibonzo DW na mawazo yake . Mbunge wa Mbeya na spika wa bunge la jamuhuri ya Tanzania leo akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa majengo ya shule amewataka wanachama wa chama cha...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Bandari haijakodishwa , bali imeporwa. Kama ingekuwa imekodishwa tungeambiwa inakodishwa kuanzia lini mpaka lini, na malipo ya mwenye mali yatakuwa kiasi gani, na aliyekodi atabakia na nini...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Sina mengi ya kusema sikiliza hiyo video ya mwanamapinduzi ndio mjue wale wauza bandari za watu walivyoyakanyaga, maskini wee mwafaa.
25 Reactions
232 Replies
23K Views
CHADEMA hawajifunzi, mwaka 2015 walidandia umaarufu wa Lowassa waliyekuwa wakimtangaza kama adui mkuu wa taifa, matokeo yake wakapata umaarufu wa muda mfupi ila madhara ya muda mrefu wa chama...
1 Reactions
14 Replies
994 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…