Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump 🤣.
Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe...
Na Nulphin Charles, Katibu Mstaafu CHADEMA Serengeti
Uganda ilifanya uchaguzi na leo hii wamefanya sherehe za uapisho na hakuna kampeni yoyote inaendeshwa mitandaoni kuhoji uhalali wa uchaguzi...
Kwa kule ninakotoka watu husimamia misimamo ya UKWELI NA UWAZI.
Huyu ndugu yetu Jaji Mwambegele katushushia heshima watu wa Mbeya-Tukuyu.
Nakubaliana na Jaji Warioba, Jaji Mwambegele kajivunia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa kesho Jumatano, tarehe 13 Mei 2026 Chama kitakuwa na mashauri mawili Mahakama kuu ya Tanzania, masijala ya Dar es salaam...
Wakuu,
Hebu naomba tushirikishane.
Mchengerwa alishindwa nini kwenda kununua mkoba wa 200k akaenda kununua mkoba Loui Vutton?
Huu mkoba kama kweli ni wa Loui Vutton maana yake ni Milioni 10...
KENYA KAMA “TROJAN HORSE”? VITA VYA DATA, TABIANCHI NA UTAWALA MPYA WA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI
Katika karne ya 21, vita havitangazwi tena kwa mizinga pekee. Havianzi kwa ndege za kivita wala...
Jumuiya ya wanafunzi wa Chadema (CHASO) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, imewajia juu wasomi nchini kwa kile walichokiita "uchawa wa wasomi," wakidai kuwa hali hiyo inaliangamiza taifa...
Ikishangaa ya mafuta utaona ya Gesi asilia.
Tayari kashaigawa gesi yetu yote ya Kusini. Nna Makubaliano ni kwamba Tanzania itapewa Mgawo wa asilimia 3 tu ye Gesi yote itakayo kwa matumizi ya...
MHE. GHATI CHOMETE AOMBA SERIKALI KUPELEKA FEDHA TAKRIBANI BILLIONI 18 KUKAMILISHA MIRADI YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MWL.NYERERE (KWANGWA), MKOANI MARA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe...
MKUTANO WA MAALUM (KIKAO CHA 3) WA BUNGE LA TANO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EALA) TAREHE 16 MACHI 2026
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limemuapisha Waziri wa Mambo ya Nje na...
JajiJoseph Sinde Warioba, waziri mkuu mstaafu amesema maisha yake yako hatarini. Anatishiwa kuuawa, lakini hana cha kuogopa.
"Kuna watu wengi sana wanaoniletea ujumbe, kwamba mzee angalia...
Viongozi wa Afrika, jitahidini kuwa na majasusi wa kimkakati.
Kuna ukoloni mamboleo unaorejea barani Afrika, ambapo baadhi ya viongozi wa ndani watatumika kuwasaliti na 'kuwauza' viongozi wenzao...
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
Na George Michael Uledi Mei 11, 2026
Hivi karibuni, Rais William Ruto wa Kenya alitoa kauli iliyozua mjadala
mzito baada ya kutangaza kuwa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha
kusafisha mafuta ghafi cha...