Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumejifunza mengi kutoka kwenye munyukano wa kisheria uliotokea kwenye Mahakama Kuu ya Mbeya kuhusiana na mkataba kati ya DP World na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tulichoshuhudia ni tofauti...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakati Jeshi la Polisi likiendelea kuwashilia wanasiasa Dk Willibrod Slaa na Mpaluka Nyangali maarufu ‘Mdude’ na mwanasheria Boniface Mwabukusi, mawakili wao wamedai kuwa wateja wao wamehojiwa kwa...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Enyi vyama vya upinzani, nyote kabisa pasipokuwa na exception, huu ndiyo ulio ukweli mchungu: Tafsiri halisi kuwa: Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi Hii ni pasipo na kujali kuwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu...
16 Reactions
88 Replies
9K Views
Nimesikiliza kipande cha clip ya Dkt. Slaa kinachoongelea mapinduzi (sijui ya nchi gani) ila sijasikia maneno " tutafanya hivyo". Kwenye issue serious kama hii, kuweka clip vipande vipande au...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti. Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
19 Reactions
135 Replies
9K Views
Serikali, kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imetoa tamko juu ya matamko yanayotolewa na asasi mbalimbali kuhusu kukamatwa kwa Dr. Slaa, Wakili Mwabukusi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mhe Mathayo Maselle amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa bilioni 150 kwa ajili ya mbolea ya ruzuku ili iwafikie wakulima lakini kwa makusudi na kwa uzembe mkubwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimemskiliza Fr. Charles Kitima, nimemsikiliza Dr. Wilbroad Slaa, nimemsikiliza Adv. Boniface Mwambukusi, nimemsikiliza Mange Kimambi, nimemsikiliza Rostam Aziz, nimemsikiliza Tundu Lissu...
39 Reactions
66 Replies
5K Views
Hizi nchi zetu za ulimwengu wa tatu zina mambo mengi sana ya kushtukiza na kushangaza sana. Haya mwana JF chagua moja hapo, je siku ukiambiwa upewe kesi ya Ugaidi au Uhaini ungechagua ipi?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwenye Maombi ya kitaifa Dodoma alisema yafuatayo: NDANI YA MIAKA MITATU Hatma ya mataifa mbalimbali itaamuliwa na vitu vikubwa vitatu na hivi vitu vitatu vitafaya kazi pamoja. 1. Siasa 2...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa...
36 Reactions
97 Replies
8K Views
Ndg. Said Hussein Nassoro, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Leo tunalo swali makini kwa wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama: Ni sawa kwa Raia wanaopinga uhaini uliofanywa wa Rais...
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Naweza kusema uongozi wa Rais Samia umefanikiwa pakubwa kujenga Imani Kwa wawekezaji kuwekeza Tanzania. Tanzania itakuwa kitovu Cha uwekezaji mkubwa miaka ya baadaye. Awali ya yote nichukue...
3 Reactions
10 Replies
712 Views
Wanabodi, Naomba ufahamu kidogo Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) ilijadili na kupitisha Mkataba wa Bandari kwamba ni mzuri na una maslahi mapana ya Taifa. Naomba kufahamu katika Historia ya...
0 Reactions
2 Replies
551 Views
Namkosoaga sana Tundu Antipas Lissu ila kwenye eneo ambalo nakiri na nasema ukweli ni kwamba Tundu Antipas Lissu ni mwanasheria smart sana. Tundu Lissu anajua sheria hasa, kwenye maneno yake...
13 Reactions
111 Replies
8K Views
Serikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku...
17 Reactions
46 Replies
4K Views
Dola 747 milioni zahitajika ununuzi wa mafuta Dar es Salaam. Mjadala wa kunusuru mkwamo wa waagizaji wa mafuta huenda ukafikia ukomo endapo Serikali itawezesha upatikanaji wa Dola 747 milioni...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Mstaafu Jakaya Kikwete anawashwa na nini? Na Mjumbe wa Mkutano Mkuu MWAKA 2017, aliyekuwa Rais wakati huo, John Pombe Magufuli, alisema: "wastaafu wengine hawachoki kusema, wana washwa washwa."...
40 Reactions
118 Replies
16K Views
Juzi juzi hapo marais wa Afrika waliungana katika mkutano wa Urusi na Afrika. Kila kiongozi alipewa nafasi ya kutoa yake. Nadhani katika hotuba zilizofunika ni za huyu "rais kijana" wa Bukina...
25 Reactions
119 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…