Je, kati ya kesi ya Ugaidi na Uhaini ni ipi ungechagua?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,254
34,205
Hizi nchi zetu za ulimwengu wa tatu zina mambo mengi sana ya kushtukiza na kushangaza sana.

Haya mwana JF chagua moja hapo, je siku ukiambiwa upewe kesi ya Ugaidi au Uhaini ungechagua ipi?
 
Yote ni matendo maovu ya binadamu yanayosababishwa na Tamaa. Tumeshuhudia kwa kusumuliwa au kusoma pahali pengi duniani aftermath ya uhaini ni karaha na mateso.

Sikubaliani na wote wana-resort kwenye uhaini au ugaidi ili kujithibitisha na wote wanastahili adhabu Kali.
 
Heri uhaini Kuliko Ugaidi maan hapo Utajikuta unabambikwa na Kesi nyngne za Washenzi Walizofanyag huko wakakosa ushahidi,

Hapo Wakt Unavutwa makende na Tiss mara Unashangaa na Wakenya wanasem heb Mleteni huyo ni mshukiwa wa Shambulio la West gate,

Wakt huo hata Mpak wa Burundi tu hujawahi kufika hapo ndo utajua Kwanin Yesu alipiga Makelele pale Msalabani.
 
Hizi nchi zetu za ulimwengu wa tatu zina mambo mengi sana ya kushtukiza na kushangaza sana.

Haya mwana JF chagua moja hapo, je siku ukiambiwa upewe kesi ya Ugaidi au Uhaini ungechagua ipi?
Ya ugaidi waliunga unga hadi Mo Energy na Vitumbua ikashindikana ngoja tuone hii
 
Uhujumu uchumi na kuongoza genge la uhalifu ilikua style ya magufuli.

Sasa hivi ni mwendo wa ugaidi + uhaini
 
Back
Top Bottom