Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://youtu.be/6J2JmIcz8jM?si=yQX0B9XISyGvqc9L Sasa Chawa wamefumka, wanaanza kujiropokea hovyo... Kusema ukweli, hawana hoja. Wako desperate kutetea maovu na uovu wao wakidhani wataokoka...
4 Reactions
17 Replies
426 Views
Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia Francis Fran ceo anaeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametekwa na wanaharakati hivyo wamekosa Msimamo; Chama ambacho "kimetekwa na...
1 Reactions
14 Replies
207 Views
Msanii wa filamu nchini, Steven Mengele, maarufu Steve Nyerere, amesema ametumwa na vijana nchini kwamba; "niwaambie hawataki vurugu, wanataka Amani" akisisitiza kuwa vijana kwa sasa wameamua...
3 Reactions
27 Replies
461 Views
-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu. -Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu...
2 Reactions
39 Replies
271 Views
Tanesco wamesema kumetokea hitilafu kwenye grid ya Taifa kwa hiyo mikoa yote umeme umekatika kama nchi inabidi hii approach ibadilike Kwanini nasema hivi ni hatari sana kwa nchi kuendelea na huu...
18 Reactions
86 Replies
2K Views
Waziri Katambi ameeleza kwamba NIDA sio taarifa binafsi, Umri sio taarifa binafsi, namba ya simu sio taarifa binafsi Huyu ni waziri mkubwa ndani ya baraza la mawari: Sina hakika sana na level ya...
3 Reactions
6 Replies
162 Views
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) amebuni mfumo wa kidijitali unaotumia teknolojia ya Akili Bandia (AI) unaolenga kuboresha utoaji wa huduma na kudhibiti vitendo vya udanganyifu katika...
7 Reactions
22 Replies
419 Views
Maamuzi yake ni hovyo hovyo ambayo kama mtu ana akili timamu hawezi kuyatoa.Mfano hili suala la vitambulisho vya Nida ni maamuzi ya hovyo kanisa. Nasema hivi sababu mpaka sasa kuna Watanzania...
0 Reactions
11 Replies
161 Views
Kwenye vitabu vya dini imeandikwa utavuna ulicholipanda.utawala huu umepanda mauaji,ufisadi,unakandizaji wa democrasia yaani umepanda maovu kila sehemu. Yaani...
9 Reactions
15 Replies
229 Views
Mchambuzi wa Masuala ya Diplomasia na Utatuzi wa migogoro @fran_ceo anaeleza kuwa zuio la Mikutano ya Kisiasa katika kipindi hiki, Serikali inawasaidia CHADEMA kutoka kwenye mtego wa kuhamasisha...
1 Reactions
9 Replies
284 Views
Ama kwa hakika, mkataa pema pabaya pana muita. Mzee huyo baada ya kujilimbikizia fedha na mali za kutosha akiwa kuhani wa kanisa, akaisaliti nadhiri yake ya sakaramenti ya upadre na kuachana na...
3 Reactions
67 Replies
790 Views
About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept...
30 Reactions
172 Replies
3K Views
Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria. Samia alijua atakuwa mtu wa kumsaidia kuwaunganisha watanzania. Badala yake katambi kamvua nguo Samia...
0 Reactions
3 Replies
148 Views
Ahsante CHADEMA kwa kuendelea kuwapa Nafasi walau Dakika Tano Hawa Wamama ambao waliuliwa Ndugu zao Oktoba 29 kama nilivyoshauri hapa , CHADEMA YANGU, Kila Mkutano wa Hadhara Tupate Dakika Kumi...
18 Reactions
63 Replies
887 Views
Katambi wala Madilu kukitokea civil war among ourselves, hawa hawatakuwepo front line. Sana sana watawapeleka nyinyi polisi na JW kapuku mfe. Hivyo msiwasikilize hawa wauaji. Madilu anamuandaa...
18 Reactions
55 Replies
695 Views
Viongozi 15 wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar wameisusa CUF tangu Jumapil, Juni 28, 2026, wametangaza kujiuzulu kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutoridhishwa na uongozi wa sasa. Nawashauri...
2 Reactions
7 Replies
220 Views
Daa, hadi mwili unatetemeka. Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole. Polepole alikuwa mwiba mchungu Kwa CCM na Samia. Na hali hii...
59 Reactions
177 Replies
6K Views
Natamani sana kuuelewa ukimya wa mh rais kwenye mambo nyeti ya kitaifa kama hili la waziri wa mambo ya ndani kumwagiza IGP asitoe kibali cha mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa,na hii ni...
0 Reactions
5 Replies
148 Views
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali imeboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi katika maeneo ya vijijini na mijini Amesema kuwa bajeti ya Wizara ya Maji...
0 Reactions
7 Replies
145 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…