passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,798
- 13,033
Kwenye vitabu vya dini imeandikwa utavuna ulicholipanda.utawala huu umepanda mauaji,ufisadi,unakandizaji wa democrasia yaani umepanda maovu kila sehemu.
Yaani utawala huu umepanda umauti kwenye nchi yetu.umauti wa demokrasia,umauti wa watu,umauti wa maadili yaani watu kutekwa na kufanyiwa vitu vichafuNk.
Kwa kuwa utawala huu umepanda umauti na wenyewe utapata umauti ni suala la muda tu.kwa sababu damu za watanzania zinamlilia Mungu na pia Mungu aliona mateso ya wapinzani na watu wengine waliotekwa.
Kwa hiyo ni suala la muda tu na nyie wenyewe mnaona utawala unavyotapatapa ni process tu.mauaji na mateso ya watanzania hayayasahauliki wala kusameheka kwa sababu mmekataa kutubu na kunyenyekea ni suala la muda tu.