figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,459
- 61,728
Viongozi 15 wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar wameisusa CUF tangu Jumapil, Juni 28, 2026, wametangaza kujiuzulu kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutoridhishwa na uongozi wa sasa.
Nawashauri CHADEMA wafanye usajili haraka sana... Chadema inahitaji watu.
Akizungumza kwa niaba ya viongozi 15 waliojiondoa Zanzibar, Omar Mohamed Hassan amesema wamefikia uamuzi huo kutokana na kutoridhishwa na mfumo wa uongozi uliopo pamoja na migogoro ya mara kwa mara inayokikumba chama cha wananchi CUF.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Wilaya Kaskazini A, Vuai Kona Haji amesema tangu ajiunge na CUF hajawahi kuwa mwanachama wa chama kingine lakini sasa ameona hana sababu ya kuendelea kutokana na migogoro isiyokwisha.
Hadi sasa hawajapata chama cha kwenda. Wanatafakari.
Haya majembe yanaweza saidia kulima..
Chadema changamkia fursa fasta.. Hadi tuwe wengi CCM wazidi kutetemeka